Rwankomezi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 3,285
- 2,636
Huo ni uongo na chama chako ni cha hovyo hawana msimamo...walikataa serikali 2020 leo eamekubali Ruzuku ya Mlin 898, Majizi akina nani sasa?kwamba chama cha mauwaji na majiz ya kura ndio kinaweza kusema chadema ni chama toka lini.
Sana Kabisa ccm inawapenda kwa kuwauzia mchanga badala ya MboleaWanaJf, salaam tena!
Nimekuja kuuliza tena baada ya shangao kubwa linalotokana na ndimu mbili za chama kikongwe cha upinzani - CDM. Kimsingi sitegemei kuona CDM kikitoa misimamo inayoyumba na kuyumbisha taifa letu. REJEA
(a) Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 CHADEMA ilituma kwa Spika majina ya Wabunge leo wanaoitwa Covid 19. Mitifuano yake mpaka leo imeacha nyufa ndani ya CDM. Lakini leo Covid-19 wameitisha kikao chao na kumwalika Rais wa JMT punde uongozi wa CDM nao uko tayari kukaa nao "La hasha". Viapo vya vyama hivyo viko wapi?
(b) Kutokana na kile kilichotokea uchaguzini CDM ikakataa kuitambua uTme, ikakataa kutambua matokeo na baadae ikakataa kupokea Ruzuku za kila mwezi, robo na nusu mwaka. Sasa juzi juzi mara wamepokea 800+M.
Sasa hivi kachama kanashindwa kusimamia kiapo kidogo hivyo na misimamo ya vikao leo kanaweza kutuaminisha kuwa kanapigania maslahi ya wanyonge?
Wananchi tubaki CCM, chama kinachowapenda na kuwathamini.
Msakila Kabende,
Kakonko.
Wewe ama umeamua kujifanya hujui kinachoendelea ama unajitia wazimu, napenda kukwambia yafuatayo:Huo ni uongo na chama chako ni cha hovyo hawana msimamo...walikataa serikali 2020 leo eamekubali Ruzuku ya Mlin 898, Majizi akina nani sasa?
Sasa buku saba tunalipwa na nani kama hatupo chadema wala serikali hii ya Mama yenu?Wewe ama umeamua kujifanya hujui kinachoendelea ama unajitia wazimu, napenda kukwambia yafuatayo:
NB, Kinachofuata ni kwamba wale waliopatikana na COVID-19 wanaondolewa bungeni kwa sababu walivunja taratibu za kichama. Hivyo, Chadema itateua wabunge wengine tofauti. Pia, katiba mpya inakuja, mashauriano yanaendelea, jiandae kutafuta kazi halali. Buku saba haitakuwepo tena, maana kila mtu atakula kwa jasho lake. Ni hayo tu.
- Chadema toka 2019 walimuomba dictator kule Mwanza wakae chini wazungumze masuala yanayolikumba taifa, lakini hakujali kwa kiburi chake.
- Walikataa matokeo na matunda ya uchaguzi wa mwaka 2020 kwa sababu ulikuwa na ukiukwaji wa sheria na taratibu za uchaguzi.
- Kufuatia maridhiano yanayoendelea, Chadema imeonyesha nia ya kuliponya taifa hasa walioteswa kipindi cha dikteta uchwara. Ndicho maana leo hii imekuwa rahisi kwa viongozi wa CCM na Chadema kukaa pamoja. Na moja ya matunda ya maridhiano hayo ni kuachiwa wanachama mbalimbali wa Chadema, akiwemo Mwenyekiti Mbowe, kurudi nchini viongozi wa Chadema, kufunguliwa mikutano ya hadhara iliyozuwiwa kihuni na pia kuchukua ruzuku ambayo Chadema iliikataa mpaka mazingira ya kisiasa yatakapowekwa vizuri, ambayo sasa tunaona.
Miaka yote wanawake wa chadema huwa wanaandaa kongamano la wanawake.Unataka kuthibitisha la mwaka huu wameandaa covid19?WanaJf, salaam tena!
Nimekuja kuuliza tena baada ya shangao kubwa linalotokana na ndimu mbili za chama kikongwe cha upinzani - CDM. Kimsingi sitegemei kuona CDM kikitoa misimamo inayoyumba na kuyumbisha taifa letu. REJEA
(a) Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 CHADEMA ilituma kwa Spika majina ya Wabunge leo wanaoitwa Covid 19. Mitifuano yake mpaka leo imeacha nyufa ndani ya CDM. Lakini leo Covid-19 wameitisha kikao chao na kumwalika Rais wa JMT punde uongozi wa CDM nao uko tayari kukaa nao "La hasha". Viapo vya vyama hivyo viko wapi?
(b) Kutokana na kile kilichotokea uchaguzini CDM ikakataa kuitambua uTme, ikakataa kutambua matokeo na baadae ikakataa kupokea Ruzuku za kila mwezi, robo na nusu mwaka. Sasa juzi juzi mara wamepokea 800+M.
Sasa hivi kachama kanashindwa kusimamia kiapo kidogo hivyo na misimamo ya vikao leo kanaweza kutuaminisha kuwa kanapigania maslahi ya wanyonge?
Wananchi tubaki CCM, chama kinachowapenda na kuwathamini.
Msakila Kabende,
Kakonko.
Juu ya sakata hili nadhan ingekua bora zaid ukilete thread hakikisha umeambatanisha na sheria juu ya ruzuku kwa vyama vya siasa kwamba inaangalia mamb yapi mpaka chama kipate ruzuku!!WanaJf, salaam tena!
Nimekuja kuuliza tena baada ya shangao kubwa linalotokana na ndimu mbili za chama kikongwe cha upinzani - CDM. Kimsingi sitegemei kuona CDM kikitoa misimamo inayoyumba na kuyumbisha taifa letu. REJEA
(a) Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 CHADEMA ilituma kwa Spika majina ya Wabunge leo wanaoitwa Covid 19. Mitifuano yake mpaka leo imeacha nyufa ndani ya CDM. Lakini leo Covid-19 wameitisha kikao chao na kumwalika Rais wa JMT punde uongozi wa CDM nao uko tayari kukaa nao "La hasha". Viapo vya vyama hivyo viko wapi?
(b) Kutokana na kile kilichotokea uchaguzini CDM ikakataa kuitambua uTme, ikakataa kutambua matokeo na baadae ikakataa kupokea Ruzuku za kila mwezi, robo na nusu mwaka. Sasa juzi juzi mara wamepokea 800+M.
Sasa hivi kachama kanashindwa kusimamia kiapo kidogo hivyo na misimamo ya vikao leo kanaweza kutuaminisha kuwa kanapigania maslahi ya wanyonge?
Wananchi tubaki CCM, chama kinachowapenda na kuwathamini.
Msakila Kabende,
Kakonko.
Kwa nn mlikataa?Wamezoea siasa za kishenzi sana hawa watu. Hawajui chama kupata ruzuku ni hitaji la kikatiba.
CDM wana ndimi mbili - yaani hiki si chama kbsKwa nn mlikataa?
Toa takatak Hapa mwanzo mligome Sasa mmlivyo ona chai hkn na mafuta ya magar yenu Hakuna mmekubali Hilo Ni kosa lenu kukozaa misimamoJuu ya sakata hili nadhan ingekua bora zaid ukilete thread hakikisha umeambatanisha na sheria juu ya ruzuku kwa vyama vya siasa kwamba inaangalia mamb yapi mpaka chama kipate ruzuku!!
Mkuu mwambie hivi chadema walichotaka ni kusikilizwa na kugomea ruzuku ni ili wasikilizwe je kama wamesikizwa nakudhaminika kwanini wasipokee haki yao ya kikatiba?ruzuku hutokana na kura za uraisi ila hapa naona wafuasi was ACT wazalendo ndiyo wanaumia sana kwajinsi chadema inapata pesa za kujiendesha wao wanatamani sana chadema ife wao wachukuwe nafasi hiyo lakini bado mbowe ni superbrand kwa zuber zitto kabwe1 - wewe ni ccm lakini masuala ya chadema yanakuwasha.
2 - pesa ya ruzuku ipo kikatiba siyo pesa ya baba yako au fadhila. Tumia elimu yako vizuri. Hukwenda shule ili uwe mjinga kwa kiwango hiki cha kutojua masuala yaliyo wazi kikatiba amabyo hata mtoto wa chekechea anajua.
Acha ujinga wa kukurupuka ukafikir kila mtu akihoji ni CDM!! Acha kupanic jibu hoja, kama unaelewa sheria ya vyama vya siasa kuhusu ruzuku weka hapa. Kama huna piga kimya!!Toa takatak Hapa mwanzo mligome Sasa mmlivyo ona chai hkn na mafuta ya magar yenu Hakuna mmekubali Hilo Ni kosa lenu kukozaa misimamo
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Usiumize kichwa, ni sawa tu na wenyeviti wawili wa Taifa wa CCM, mmoja mwaka 2020 alisema hakuna corona, hakuna kuvaa barakoa wala kunawa maji tiririka na wala chanjo haitaingizwa nchini, tukashangilia na kupiga makofi, na mwenyekiti mwingine mwaka 2022 akasema kuna corona lazima tuvae barakoa, tunawe maji tiririka na tuagize chanjo ziingie nchini, tupokee hela za covid, pia tukapiga makofi na chanjo zikaingia na tukachanjwa (pengine ukiwemo wewe pia umechanjwa, na kama haujachanjwa basi haujawa mtiifu kwa mwenyekiti wako wa chama Taifa). Maisha yanaendelea(a) Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 CHADEMA ilituma kwa Spika majina ya Wabunge leo wanaoitwa Covid 19. Mitifuano yake mpaka leo imeacha nyufa ndani ya CDM. Lakini leo Covid-19 wameitisha kikao chao na kumwalika Rais wa JMT punde uongozi wa CDM nao uko tayari kukaa nao "La hasha". Viapo vya vyama hivyo viko wapi?
(b) Kutokana na kile kilichotokea uchaguzini CDM ikakataa kuitambua uTme, ikakataa kutambua matokeo na baadae ikakataa kupokea Ruzuku za kila mwezi, robo na nusu mwaka. Sasa juzi juzi mara wamepokea 800+M.
Siasa ni dynamic sio static , unaogelea vizuri mkondo wa maji unapo kwendaWanaJf, salaam tena!
Nimekuja kuuliza tena baada ya shangao kubwa linalotokana na ndimu mbili za chama kikongwe cha upinzani - CDM. Kimsingi sitegemei kuona CDM kikitoa misimamo inayoyumba na kuyumbisha taifa letu. REJEA
(a) Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 CHADEMA ilituma kwa Spika majina ya Wabunge leo wanaoitwa Covid 19. Mitifuano yake mpaka leo imeacha nyufa ndani ya CDM. Lakini leo Covid-19 wameitisha kikao chao na kumwalika Rais wa JMT punde uongozi wa CDM nao uko tayari kukaa nao "La hasha". Viapo vya vyama hivyo viko wapi?
(b) Kutokana na kile kilichotokea uchaguzini CDM ikakataa kuitambua uTme, ikakataa kutambua matokeo na baadae ikakataa kupokea Ruzuku za kila mwezi, robo na nusu mwaka. Sasa juzi juzi mara wamepokea 800+M.
Sasa hivi kachama kanashindwa kusimamia kiapo kidogo hivyo na misimamo ya vikao leo kanaweza kutuaminisha kuwa kanapigania maslahi ya wanyonge?
Wananchi tubaki CCM, chama kinachowapenda na kuwathamini.
Msakila Kabende,
Kakonko.
Kwa kweli CDM ni genge si chama tenaSiasa ni dynamic sio static , unaogelea vizuri mkondo wa maji unapo kwenda
Give and take ni busara zaidi ya mapambano ambayo huwezi shinda.
Rejea uhusiano wa Urusi na Marekani wakati wa Trump na sasa wa Biden,mambo hubadilika kutokana na nyakati na ndio busara
Unadhani msimamo wa CCM wakati wa Magu ni sawa na wa Sasa na chama hakijui kifanyacho?
Fikiria mara mbili
WanaJf, salaam tena!
Nimekuja kuuliza tena baada ya shangao kubwa linalotokana na ndimu mbili za chama kikongwe cha upinzani - CDM. Kimsingi sitegemei kuona CDM kikitoa misimamo inayoyumba na kuyumbisha taifa letu. REJEA
(a) Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 CHADEMA ilituma kwa Spika majina ya Wabunge leo wanaoitwa Covid 19. Mitifuano yake mpaka leo imeacha nyufa ndani ya CDM. Lakini leo Covid-19 wameitisha kikao chao na kumwalika Rais wa JMT punde uongozi wa CDM nao uko tayari kukaa nao "La hasha". Viapo vya vyama hivyo viko wapi?
(b) Kutokana na kile kilichotokea uchaguzini CDM ikakataa kuitambua uTme, ikakataa kutambua matokeo na baadae ikakataa kupokea Ruzuku za kila mwezi, robo na nusu mwaka. Sasa juzi juzi mara wamepokea 800+M.
Sasa hivi kachama kanashindwa kusimamia kiapo kidogo hivyo na misimamo ya vikao leo kanaweza kutuaminisha kuwa kanapigania maslahi ya wanyonge?
Wananchi tubaki CCM, chama kinachowapenda na kuwathamini.
Msakila Kabende,
Kakonko.
Serikalini ilifahamu umuhimu wa vyama kupata ruzuku, sasa hawa CDM kutangazia umma kuwa hawatambui uchaguzi na Ruzuku hawatachukua walimaanisha kwamba watanzania wote ni wasahaulifu?Acha ujinga wa kukurupuka ukafikir kila mtu akihoji ni CDM!! Acha kupanic jibu hoja, kama unaelewa sheria ya vyama vya siasa kuhusu ruzuku weka hapa. Kama huna piga kimya!!
Kha! Kwahiyo hilo ndio mmelijua leo. Acheni kutoa majibu mepesi kwenye maswala magumu. Wenzio wanashibisha matumbo yao wewe huku unatetea ujinga.pesa ya ruzuku ipo kikatiba siyo pesa ya baba yako au fadhila. Tumia elimu yako vizuri. Hukwenda shule ili uwe mjinga kwa kiwango hiki cha kutojua masuala yaliyo wazi kikatiba amabyo hata mtoto wa chekechea anajua.