Hata leo mkifungia Chadema sera zao tayari zimesha eleweka na ndizo zipo kwa Watanzania wengi.!Pesa , uchawa, rushwa haitaweza kubadilisha imani ya watanzania ni kupoteza muda. Ukiwa na genius kama walina Lissu hata ukiwafunga haisaidii maana sera zao ni za kitaifa. Haki ni kitu cha kibinadamu sio chama. Hapo ndipo wamewapata