Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Chadema wanajulikana tangia siasa za vyama vingi zianze kuwa hawana uwezo wa kuendesha siasa bila ya kufanya harakati za kisiasa ili kujifanya kuna vuguvugu wanalidai kwa manufaa ya umma.
Mkuu wa nchi alidai kuwa eti anataka kuaminiana na Mbowe ili wajenge nchi na kuwatumikia waTz ili kuleta maendeleo.
Hii kitu haitawezekana na hawa Chadema seio wa kuwachekea hata kidogo wakichekewa ndio haya mambo ambayo wamezoea kufanya yanatokea.
Hata kama tunahitaji katiba mpya kama taifa basi isidaiwe kwa vitisho na ubabe.
Leo hii wanajipiga kifua kuwa wao ni magangwe.