CHADEMA wamezoea harakati zisizo na mashiko ndio aina ya siasa walizozoea

Wewe unataka katiba mpya?
Chadema wanajulikana tangia siasa za vyama vingi zianze kuwa hawana uwezo wa kuendesha siasa bila ya kufanya harakati za kisiasa ili kujifanya kuna vuguvugu wanalidai kwa manufaa ya umma.

Mkuu wa nchi alidai kuwa eti anataka kuaminiana na Mbowe ili wajenge nchi na kuwatumikia waTz ili kuleta maendeleo.

Hii kitu haitawezekana na hawa Chadema seio wa kuwachekea hata kidogo wakichekewa ndio haya mambo ambayo wamezoea kufanya yanatokea.

Hata kama tunahitaji katiba mpya kama taifa basi isidaiwe kwa vitisho na ubabe.

Leo hii wanajipiga kifua kuwa wao ni magangwe.
 
Zisingekua na Mashiko Leo usingekua hapa unaandika hivi[emoji23][emoji23][emoji23].. Kwanini wamemwachia Mkt na wakati harakati zao hazina Mashiko [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Chadema wanajulikana tangia siasa za vyama vingi zianze kuwa hawana uwezo wa kuendesha siasa bila ya kufanya harakati za kisiasa ili kujifanya kuna vuguvugu wanalidai kwa manufaa ya umma.

Mkuu wa nchi alidai kuwa eti anataka kuaminiana na Mbowe ili wajenge nchi na kuwatumikia waTz ili kuleta maendeleo.

Hii kitu haitawezekana na hawa Chadema seio wa kuwachekea hata kidogo wakichekewa ndio haya mambo ambayo wamezoea kufanya yanatokea.

Hata kama tunahitaji katiba mpya kama taifa basi isidaiwe kwa vitisho na ubabe.

Leo hii wanajipiga kifua kuwa wao ni magangwe.
Naona inakuuma kuona zile siasa za majitaka na chuki zimepotea katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita. Ni lazima ukereke tu kutokana na kusikia harufu nzuri ya pilau itokayo kwa jirani yako, wakati wewe unashushia nguna kwa maji.

Siku zote "sadist" hupenda kuona watu wengine wakiumia, wakipitia magumu, wakiumizwa, wakifanyiwa unyama. Kipindi cha "sadism" kimeshapita, kajipange upya.
 
Sasa nimekuelewa kuwa hawa jamaa wanaruka ruka tu majukwaani ili waingine siku lakini kiuhalisia hawana malengo ya kushika dola sasa nimekuelewa.
 
Ngoja kuwe na Tume Huru ya Uchaguzi ndo utajua hujui
Ajabu badala ya kupigania tume huru mnataka katiba ikatungwe kwenye bunge ambalo halikupatikana kwa tume huru
Itungwe na wabunge ambao ni haramu hamuwatambui
Ikatungwe kwenye bunge ambalo mna 0.3% ya wajumbe.
Very poor stratergy
 
Chadema wanajulikana tangia siasa za vyama vingi zianze kuwa hawana uwezo wa kuendesha siasa bila ya kufanya harakati za kisiasa ili kujifanya kuna vuguvugu wanalidai kwa manufaa ya umma.

Mkuu wa nchi alidai kuwa eti anataka kuaminiana na Mbowe ili wajenge nchi na kuwatumikia waTz ili kuleta maendeleo.

Hii kitu haitawezekana na hawa Chadema seio wa kuwachekea hata kidogo wakichekewa ndio haya mambo ambayo wamezoea kufanya yanatokea.

Hata kama tunahitaji katiba mpya kama taifa basi isidaiwe kwa vitisho na ubabe.

Leo hii wanajipiga kifua kuwa wao ni magangwe.
Yaani una wivu kuliko hata bibi yako mzaa mamako jitu zima ovyo.

Sent from my SM-A037G using JamiiForums mobile app
 
Hili taifa halitaweza kupata Maendeleo tunayoyataka hasa ya wananchi wa chini kama tutaendelea kukaa na kushikilia mfumo ule ule! Tunahitaji mabadiliko nje ya mfumo utakaoleta ushindani utakao zaa mazingira bora na Maendeleo halisia

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Chadema kinahukumiwa kwa kusimamia katiba !! Katiba inasemaje kuhusu mikusanyiko

Itapataje wanachama bila harakati kitafahamikaje
 
Mwacheni Mungu aitwe Mungu ... !!!

Hizi push up zinanikumbusha jinsi alivyokuwa akimdhihaki Lowassa wakati yeye mwenyewe alikua spana mkononi

Haya sasa yeye kaondaka Lowassa bado anajikadiria kiasi cha chumvi anayotaka kwenye chips yai

Da! Maisha yanenda kasi sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pigo moja tu la covid moyo ukapata moto jamaa kameza ulimi yuko chato kalala anaongoza mashetani
 
Ajabu badala ya kupigania tume huru mnataka katiba ikatungwe kwenye bunge ambalo halikupatikana kwa tume huru
Itungwe na wabunge ambao ni haramu hamuwatambui
Ikatungwe kwenye bunge ambalo mna 0.3% ya wajumbe.
Very poor stratergy
Wacha kujifariji..
Tunaenda na Rasimu ya Katiba ya Waryoba
 
Wacha kujifariji..
Tunaenda na Rasimu ya Katiba ya Wariba
Mnaenda nayo wapi sasa! ..UFIPA ?
Manake mkienda nayo bungeni CCM wanatawala kwa 90% + sasa nani atawapigia kura mpate 66% kama sharti ya kupitisha kipengele chochote kwenye katiba mnayoitaka?
Bangi sio kitu kizuri
Mwaka 2014 mlikimbia bunge la katiba mlipofika kwenye kupiga kura.
 
Back
Top Bottom