Kwa taarifa yako, Hakuna lisilowezekana!Hii kitu haitawezekana..
Daah utakuta wewe ni baba wa familia kabisa na kichwani hamna kitu namna hiiChadema wanajulikana tangia siasa za vyama vingi zianze kuwa hawana uwezo wa kuendesha siasa bila ya kufanya harakati za kisiasa ili kujifanya kuna vuguvugu wanalidai kwa manufaa ya umma.
Mkuu wa nchi alidai kuwa eti anataka kuaminiana na Mbowe ili wajenge nchi na kuwatumikia waTz ili kuleta maendeleo.
Hii kitu haitawezekana na hawa Chadema seio wa kuwachekea hata kidogo wakichekewa ndio haya mambo ambayo wamezoea kufanya yanatokea.
Hata kama tunahitaji katiba mpya kama taifa basi isidaiwe kwa vitisho na ubabe.
Leo hii wanajipiga kifua kuwa wao ni magangwe.
Kudai katiba imekuwa ni crime nchi hii?Chadema wanajulikana tangia siasa za vyama vingi zianze kuwa hawana uwezo wa kuendesha siasa bila ya kufanya harakati za kisiasa ili kujifanya kuna vuguvugu wanalidai kwa manufaa ya umma.
Mkuu wa nchi alidai kuwa eti anataka kuaminiana na Mbowe ili wajenge nchi na kuwatumikia waTz ili kuleta maendeleo.
Hii kitu haitawezekana na hawa Chadema seio wa kuwachekea hata kidogo wakichekewa ndio haya mambo ambayo wamezoea kufanya yanatokea.
Hata kama tunahitaji katiba mpya kama taifa basi isidaiwe kwa vitisho na ubabe.
Leo hii wanajipiga kifua kuwa wao ni magangwe.
Chama chakavu mnawivu wa kike,mmetumia tiss,police,nec,msajili wa vyama kupambana na cdm mmeshindwa...hicho chama sio act au cuf hamkiwezi muulize yule marehemu wenu alisimamisha kampeni zake na kujitangaza kashinda,cdm ni kubwa kuliko ccm na wanachama wake sio vilaza kma prof kabudi,prof kitila,prof ndalichako...Chadema wanajulikana tangia siasa za vyama vingi zianze kuwa hawana uwezo wa kuendesha siasa bila ya kufanya harakati za kisiasa ili kujifanya kuna vuguvugu wanalidai kwa manufaa ya umma.
Mkuu wa nchi alidai kuwa eti anataka kuaminiana na Mbowe ili wajenge nchi na kuwatumikia waTz ili kuleta maendeleo.
Hii kitu haitawezekana na hawa Chadema seio wa kuwachekea hata kidogo wakichekewa ndio haya mambo ambayo wamezoea kufanya yanatokea.
Hata kama tunahitaji katiba mpya kama taifa basi isidaiwe kwa vitisho na ubabe.
Leo hii wanajipiga kifua kuwa wao ni magangwe.
Una maana gani?Chama chakavu mnawivu wa kike,mmetumia tiss,police,nec,msajili wa vyama kupambana na cdm mmeshindwa...hicho chama sio act au cuf hamkiwezi muulize yule marehemu wenu alisimamisha kampeni zake na kujitangaza kashinda,cdm ni kubwa kuliko ccm na wanachama wake sio vilaza kma prof kabudi,prof kitila,prof ndalichako...
View attachment 2155826
Mbunge mnae Aida Kenan pekee wa kujenga hoja na kupiga kura halafu mnadai katiba mpya?Kwa taarifa yako, Hakuna lisilowezekana!
Kama hutaki Katiba Mpya tulia
Bila hao CHADEMA wananchi wengi wangezidi kuwa gizani na kuelemewa na unyonge!!Chadema wanajulikana tangia siasa za vyama vingi zianze kuwa hawana uwezo wa kuendesha siasa bila ya kufanya harakati za kisiasa ili kujifanya kuna vuguvugu wanalidai kwa manufaa ya umma.
Mkuu wa nchi alidai kuwa eti anataka kuaminiana na Mbowe ili wajenge nchi na kuwatumikia waTz ili kuleta maendeleo.
Hii kitu haitawezekana na hawa Chadema seio wa kuwachekea hata kidogo wakichekewa ndio haya mambo ambayo wamezoea kufanya yanatokea.
Hata kama tunahitaji katiba mpya kama taifa basi isidaiwe kwa vitisho na ubabe.
Leo hii wanajipiga kifua kuwa wao ni magangwe.
MKUU nasikitika Sana kukuambia kuwa chama tawala kimewafanya watz wengi wawe na utapiamlo wa ubongo na kushindwa kufikiri mambo ya msingi yenye afya kwa Taifa letu!!Ajenda za kiharakati za upinzani zimelisaidia Sana Taifa hili!Trust me BILA upinzani Tanzania ingekuwa na serikali ya hovyo iliooza KULIKO hizo ulizoziona kwa miaka mingi Sana!!!Ajenda ya katiba Mpya Sio ajenda ya upinzani wala ya ccm ya jk wa awamu ya nne ni ajenda ya wenye nchi (the state) kwa ajili ya wananchi na umepata Kasi Sana kutokana na madhara yaliyoonekana awamu ya tano NDIO mΓ ana upinzani umepewa ajenda hii na wenye nchi wai push hadi ifikie tamati!!!!Uchu wa kushika dola na kujaza matumbo umelevya wanachama wa chama tawala hadi wakatiwa upofu wa kutokuona Mbali ZAIDI ya matumbo yao!!!Chadema wanajulikana tangia siasa za vyama vingi zianze kuwa hawana uwezo wa kuendesha siasa bila ya kufanya harakati za kisiasa ili kujifanya kuna vuguvugu wanalidai kwa manufaa ya umma.
Mkuu wa nchi alidai kuwa eti anataka kuaminiana na Mbowe ili wajenge nchi na kuwatumikia waTz ili kuleta maendeleo.
Hii kitu haitawezekana na hawa Chadema seio wa kuwachekea hata kidogo wakichekewa ndio haya mambo ambayo wamezoea kufanya yanatokea.
Hata kama tunahitaji katiba mpya kama taifa basi isidaiwe kwa vitisho na ubabe.
Leo hii wanajipiga kifua kuwa wao ni magangwe.
Harakati unazozisema si harakati bali ni serikali kutofuata katiba, wanaendesha nchi kwa kufuata matakwa ya CCM. Malalamiko yanayotokea kuhusu utendaji wa jeshi la polisi yanatokana kutakiwa kufanya hivyo dhidi ya wapinzani.Chadema wanajulikana tangia siasa za vyama vingi zianze kuwa hawana uwezo wa kuendesha siasa bila ya kufanya harakati za kisiasa ili kujifanya kuna vuguvugu wanalidai kwa manufaa ya umma.
Mkuu wa nchi alidai kuwa eti anataka kuaminiana na Mbowe ili wajenge nchi na kuwatumikia waTz ili kuleta maendeleo.
Hii kitu haitawezekana na hawa Chadema seio wa kuwachekea hata kidogo wakichekewa ndio haya mambo ambayo wamezoea kufanya yanatokea.
Hata kama tunahitaji katiba mpya kama taifa basi isidaiwe kwa vitisho na ubabe.
Leo hii wanajipiga kifua kuwa wao ni magangwe.
Jamaa anapiga tu-pushapu twa JKT.Hopeless kweli.Kuna mwingine alipiga hivyohivyo akafa.πππππChama chakavu mnawivu wa kike,mmetumia tiss,police,nec,msajili wa vyama kupambana na cdm mmeshindwa...hicho chama sio act au cuf hamkiwezi muulize yule marehemu wenu alisimamisha kampeni zake na kujitangaza kashinda,cdm ni kubwa kuliko ccm na wanachama wake sio vilaza kma prof kabudi,prof kitila,prof ndalichako...
View attachment 2155826
Mwacheni Mungu aitwe Mungu ... !!!Chama chakavu mnawivu wa kike,mmetumia tiss,police,nec,msajili wa vyama kupambana na cdm mmeshindwa...hicho chama sio act au cuf hamkiwezi muulize yule marehemu wenu alisimamisha kampeni zake na kujitangaza kashinda,cdm ni kubwa kuliko ccm na wanachama wake sio vilaza kma prof kabudi,prof kitila,prof ndalichako...
View attachment 2155826
Ngoja kuwe na Tume Huru ya Uchaguzi ndo utajua hujuiNyie mna 12% presidential vote bungeni mna 0.3%
Chadema wanajulikana tangia siasa za vyama vingi zianze kuwa hawana uwezo wa kuendesha siasa bila ya kufanya harakati za kisiasa ili kujifanya kuna vuguvugu wanalidai kwa manufaa ya umma.