Ze Bulldozer
JF-Expert Member
- Jun 12, 2020
- 1,070
- 568
Mwambieni huyu Mbeligiji aache kuipakaza matope Tanzania,CHADEMA huu Sasa ndio Uzalendo wa kweli,kwa pamoja tujenge nchi yetu kwa amani na Upendo,
Lissu na wenzako rudini Tanzania hii awamu ya Rais Samia Suluhu Hassan ni salama kuliko Tanzania ya wakati wowote,
===
View attachment 2036933
Rais Samia ni mchaMungu nchi inatamalaki amani na UpendoWasiojulikana ni gaidi mbowe yuko ndani ndiyo mambo shwari.
Hata Marekani walipomtuliza gaidi Osama ha
Ngoja wamnase yeye mwenyeweCHADEMA huu Sasa ndio Uzalendo wa kweli,kwa pamoja tujenge nchi yetu kwa amani na Upendo,
Lissu na wenzako rudini Tanzania hii awamu ya Rais Samia Suluhu Hassan ni salama kuliko Tanzania ya wakati wowote,
===
View attachment 2036933
Mcha Mungu?Rais Samia ni mchaMungu nchi inatamalaki amani na Upendo
Watu wabaya kwa jina la wasiojulikana bado wako mitaani wanadunda na bado wanaowafadhili wapo .. Sema tu sasa spidi imepungua na wanafanya kwa kificho zaidiCHADEMA huu Sasa ndio Uzalendo wa kweli,kwa pamoja tujenge nchi yetu kwa amani na Upendo...
Naunga mkono hii hoja, Samia pamoja na mapungufu yake ana afadhali mara 100 ya yule nduli.Pamoja na kesi ya kumbambikizia Mbowe, bado itawala wa Samia ni bora zaidi ya mara elfu ya utawala wa Magufuli...
Mbowe alikutoa usichana wako mbona huishi kumtajataja wewe kahaba?Wasiojulikana ni gaidi mbowe yuko ndani ndiyo mambo shwari.
Hata Marekani walipomtuliza gaidi Osama hatusikii mauaji tena
Huyu mzanzibar mwenzake tu. Wazanzibar kwa kuteteana Wao kwa wao hawajamboCHADEMA huu Sasa ndio Uzalendo wa kweli,kwa pamoja tujenge nchi yetu kwa amani na Upendo,
Lissu na wenzako rudini Tanzania hii awamu ya Rais Samia Suluhu Hassan ni salama kuliko Tanzania ya wakati wowote,
===
View attachment 2036933
Wewe ndiyo huna akili kabisa, Sabaya ameshahukumiwa baada ya Mahakama kujiridhisha pasipo shaka kuwa ni jambazi sugu, lakini Mbowe ni mtuhumiwa tu na hadi sasa upande wa mashtaka haujaleta mahakamani ushahidi wowote kwa tuhuma za ugaidi zaidi sana kuna vipolisi uchwara vimefundishwa uongo kuja kuihadaa Mahakama. Wewe ni mpumbavu fulani na hata sijui Mods unawapa nini kukuvumilia kwa post zako za kijinga jinga.Yani unataka rais Samia aingilie uhuru wa mahakama ? Ili baadae Sabaya akitolewa uje ulalamike rais anaingilia uhuru wa mahakama?
Huna akili kabisa
hapo ndipo uipokoseayaani gaidi aachiwe waliomshitaki wakamatwe?hahahaaaaSamia, mwelekeze DPP afute hiyo kesi ya kubumba. Unda tume kumchunguza Kingai, Mahita, Jumanne, Godluck na we
Sina shaka, atakapo achiwa huru, utakuwa ulishamzalia mtoto kutokana na mimba aliyokuachia!Wasiojulikana ni gaidi mbowe yuko ndani ndiyo mambo shwari.
Hata Marekani walipomtuliza gaidi Osama hatusikii mauaji tena
Wenye akili wanajulikana kwa kujadili hoja, nina hakika wewe siyo miongoni mwao.Yani unataka rais Samia aingilie uhuru wa mahakama ? Ili baadae Sabaya akitolewa uje ulalamike rais anaingilia uhuru wa mahakama?
Huna akili kabisa
we unaonaje!hapo ndipo uipokoseayaani gaidi aachiwe waliomshitaki wakamatwe?hahahaaaa
Wasiojulikana si ndo akina mbowe,,,,wako gerezani ndo maana leo tuna amaniCHADEMA huu Sasa ndio Uzalendo wa kweli,kwa pamoja tujenge nchi yetu kwa amani na Upendo,
Lissu na wenzako rudini Tanzania hii awamu ya Rais Samia Suluhu Hassan ni salama kuliko Tanzania ya wakati wowote,
===
View attachment 2036933
yaani unachowaza tu ndiyo hakiwezekani ukamchunguze kingai tena? hiyo kesi hafungwi mtu wanamotezea muda tu mbowe na kurahisisha uchaguzi wa 2025 baada ya hapo atakuwa hana athari zozotewe unaonaje!
kesi ya michongo michongo utamfunga nani?
na huo ndo mwisho wa kufikiri wa ubongo wako.yaani unachowaza tu ndiyo hakiwezekani ukamchunguze kingai tena? hiyo kesi hafungwi mtu wanamotezea muda tu mbowe na kurahisisha uchaguzi wa 2025 baada ya hapo atakuwa hana athari zozote