CHADEMA wampongeza Rais Samia kwa kuimarisha Uhuru wa kutoa maoni

View attachment 2036933
===
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kupitia kwa Naibu Katibu Mkuu wake Salum Mwalim Juma wameipongeza Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kusimamia kwa Vitendo Uhuru wa kutoa maoni na kukusanyika,

Ndugu zangu wa Chadema huu Sasa ndio Uzalendo wa kweli kwa Rais wenu na nchi yenu, Sasa kwa pamoja tujenge nchi yetu kwa amani na Upendo huku tukiweka pembeni tofauti zetu za kisiasa

Tundu Lissu na wenzako rudini kwenu Tanzania, Mungu anajua na Dunia inajua awamu hii ya Rais Samia Suluhu Hassan ni salama kuliko Tanzania ya wakati wowote katika historia ya nchi hii,
Safi sana CHADEMA, Tuweni wazalendo kama hivi
 
Jinsi ya kuipooza chadema na watulie ni siasa safi na uongozi wa haki unaofata sheria basi hapo chadema lazma wapoteane,, kwa sababu chadema ina members wachache lakini ni watu wenye uelewa mkubwa alaf wengi ni educated pia ni wale ambao hawafati chama bali sera nzuri, siasa safi, na pia uongozi wa haki wenye kufata sheria kwahiyo ukiongoza vizuri kwa kufata hilo hao watu wenye uelewa lazma watakuunga mkono na wakikuunga mkono utachota members wengi wa chadema,, Samia akiweza hilo 2025 simple nchi itakua mikononi mwake tena.
 
Pamoja na kesi ya kumbambikizia Mbowe, bado utawala wa Samia ni bora zaidi ya mara elfu ya utawala wa Magufuli.

Samia, mwelekeze DPP afute hiyo kesi ya kubumba. Unda tume kumchunguza Kingai, Mahita, Jumanne, Godluck na wenzao.

Tuijenge Tanzania ya watu wastaarabu wanaoujua maana ya maendeleo ya kweli. Kwa kufanya hivyo utafurahia uongozi wako kwa kuungwa mkono na Watanzania wengi wenye dhamira njema kwa nchi yao. Safisha uchafu wote ndani ya Serikali yako ambao kazi yake kubwa ni kuchochea utengano.
Bila kumsahau IGP
 
Jinsi ya kuipooza chadema na watulie ni siasa safi na uongozi wa haki unaofata sheria basi hapo chadema lazma wapoteane,, kwa sababu chadema ina members wachache lakini ni watu wenye uelewa mkubwa alaf wengi ni educated pia ni wale ambao hawafati chama bali sera nzuri, siasa safi, na pia uongozi wa haki wenye kufata sheria kwahiyo ukiongoza vizuri kwa kufata hilo hao watu wenye uelewa lazma watakuunga mkono na wakikuunga mkono utachota members wengi wa chadema,, Samia akiweza hilo 2025 simple nchi itakua mikononi mwake tena.
Mimi jina tu CCM kwanza sitaki hata kulisikia
 
Team JF,

MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
View attachment 2036933
===
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kupitia kwa Naibu Katibu Mkuu wake Salum Mwalim Juma wameipongeza Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kusimamia kwa Vitendo Uhuru wa kutoa maoni na kukusanyika,

Ndugu zangu wa Chadema huu Sasa ndio Uzalendo wa kweli kwa Rais wenu na nchi yenu, Sasa kwa pamoja tujenge nchi yetu kwa amani na Upendo huku tukiweka pembeni tofauti zetu za kisiasa

Tundu Lissu na wenzako rudini kwenu Tanzania, Mungu anajua na Dunia inajua awamu hii ya Rais Samia Suluhu Hassan ni salama kuliko Tanzania ya wakati wowote katika historia ya nchi hii,
 
View attachment 2036933
===
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kupitia kwa Naibu Katibu Mkuu wake Salum Mwalim Juma wameipongeza Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kusimamia kwa Vitendo Uhuru wa kutoa maoni na kukusanyika,

Ndugu zangu wa Chadema huu Sasa ndio Uzalendo wa kweli kwa Rais wenu na nchi yenu, Sasa kwa pamoja tujenge nchi yetu kwa amani na Upendo huku tukiweka pembeni tofauti zetu za kisiasa

Tundu Lissu na wenzako rudini kwenu Tanzania, Mungu anajua na Dunia inajua awamu hii ya Rais Samia Suluhu Hassan ni salama kuliko Tanzania ya wakati wowote katika historia ya nchi hii,
 
View attachment 2036933
===
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kupitia kwa Naibu Katibu Mkuu wake Salum Mwalim Juma wameipongeza Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kusimamia kwa Vitendo Uhuru wa kutoa maoni na kukusanyika,

Ndugu zangu wa Chadema huu Sasa ndio Uzalendo wa kweli kwa Rais wenu na nchi yenu, Sasa kwa pamoja tujenge nchi yetu kwa amani na Upendo huku tukiweka pembeni tofauti zetu za kisiasa

Tundu Lissu na wenzako rudini kwenu Tanzania, Mungu anajua na Dunia inajua awamu hii ya Rais Samia Suluhu Hassan ni salama kuliko Tanzania ya wakati wowote katika historia ya nchi hii,
Kaziiendelee Tanzania na Samia
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
Back
Top Bottom