CHADEMA wampongeza Rais Samia kwa kuimarisha Uhuru wa kutoa maoni

CHADEMA huu Sasa ndio Uzalendo wa kweli,kwa pamoja tujenge nchi yetu kwa amani na Upendo,

Lissu na wenzako rudini Tanzania hii awamu ya Rais Samia Suluhu Hassan ni salama kuliko Tanzania ya wakati wowote,

===
View attachment 2036933
Akina Martin Maranya ,Brazaj , Erythrocyte watasema anaisifu serikali iliyo chini ya MZANZIBARI MWENZAKE 🤣🤣🤣
 
Ukiona Rais mpaka wapinzani wanamkubali jua huyo mtu ni hazina ya Taifa
 
Samia kaingizwa mkenge na sukuma gang
 
Salum Mwalim ni Mzalendo Sana huyu jamaa aise,
 
Kama maambukizi ya COVID -19 yanaongezeka siku kwa siku, Lazima tukachanje kwa hiari ili kujinga,
 
Manzanziba mwenzio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…