CHADEMA wampongeza Rais Samia kwa kuimarisha Uhuru wa kutoa maoni

Safi sana CHADEMA, Tuweni wazalendo kama hivi
 
Jinsi ya kuipooza chadema na watulie ni siasa safi na uongozi wa haki unaofata sheria basi hapo chadema lazma wapoteane,, kwa sababu chadema ina members wachache lakini ni watu wenye uelewa mkubwa alaf wengi ni educated pia ni wale ambao hawafati chama bali sera nzuri, siasa safi, na pia uongozi wa haki wenye kufata sheria kwahiyo ukiongoza vizuri kwa kufata hilo hao watu wenye uelewa lazma watakuunga mkono na wakikuunga mkono utachota members wengi wa chadema,, Samia akiweza hilo 2025 simple nchi itakua mikononi mwake tena.
 
Bila kumsahau IGP
 
Mimi jina tu CCM kwanza sitaki hata kulisikia
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
 
 
Kaziiendelee Tanzania na Samia
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…