Huyo mwaka huu asingerudi tena, uozo wote unaondoka wabaki real fighters tu.
Hapana...wamuachie tu.
Ni kweli, huyu jamaa alikuwa anagombea nafasi nyingi sana lakini alikuwa hapiti ,Mbowe kawabeba wengi sana sasa wanajiona wanaweza kusimamia kwa miguu yao wanambeza.
Chama cha Chadema kimesema kimemshangaa Antony Komu kuendelea kubaki CHADEMA ili kusubiri posho na huku Imani,itikadi na falsafa ya chama cha CHADEMA hana huku akiwa na itikadi ya NCCR-
Mageuzi
Amesema kesho wataweka wazi kuhusu hilo na ikiwezekana watamvua uanachama
View attachment 1403459
View attachment 1403460