Kife Mara ngapi?Chadema ndio kinajifia taratibu
Kife Mara ngapi?Chadema ndio kinajifia taratibu
Kwa maneno hayo ya kihuni ndiyo maana wananchi wanawasusa...hamuwezi kushika dola kwa lugha ya Aina hiyo
Kama huelewi kiswahili ni bahati mbaya sana maana sifahamu lugha nyingine.Jielekeze kwenye mada bwashee, jenga hoja acha kuongea mafumbo hapa... una maana gani..?
Jielekeze kwenye mada bwashee, jenga hoja acha kuongea mafumbo hapa... una maana gani..?
Mku ukumfukuza hujafanya kitu cha maana siatakimbilia mahakamani mpaka Oct alafu aingie kwenye uchaguzi kwa tiketi ya chama kingine? Wamuache tu asepeNimeona ndugu Antony Komu ameachana na Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA na malengo yake ni kuhamia NCCR MAGEUZI baada ya kumaliza kipindi chake cha ubunge baada ya bunge kuvunjwa , je chadema mnasuburia nini kwa nini msimfukuze ili akose uhalali (regitimacy) ya kuwepo bungeni ili na kiinua mgongo kipeperuke?
Mfano mkiitisha kikao cha wabunge wanaotokana na Chama chenu je atahudhuria au hatahudhuria?
Je mchango wake katika Chama bado upo?
NDIOKwani amehamia Lumumba au Wapi? Hivi siku hizi NCCR Mageuzi ipo Lumumba au?