bulicheka 4
JF-Expert Member
- Mar 22, 2020
- 915
- 1,020
Mwen
Mwenyewe haitaki CHADEMA sasa?..wamuachie tu.
Mwenyewe haitaki CHADEMA sasa?..wamuachie tu.
Nilipo msikia akijitapa nimesoma darasa moja na Kangi Lugora nilisikitika boya kuvujisha CV Kumbe ticha wao ni bwana yule na shule yao ndiyo ile duu mbeleni tutajua mengi
Mwen
Mwenyewe haitaki CHADEMA sasa?
Mdomo uliponza kichwa..amesema bunge litakapovunjwa ndiyo atakuwa haitaki cdm.
..binafsi sioni sababu ya cdm kugombana naye. wasubiri bunge liishe waagane kwa furaha na bashasha
Mchawi anajulikana ni anayewanunua kwa taslimu na ahadi ya mavyeo kwakuwa yapo mengi.Viongozi wa CHADEMA badala ya kulaumu viongozi wanaokihama chama, na wengi wao mliwaamini, ni wakati mwafaka wa kutafuta mchawi ndani ya chama.
Kwani amehamia Lumumba au Wapi? Hivi siku hizi NCCR Mageuzi ipo Lumumba au?
Ohooooo!!!!!Ni sawa na kumwambia mpenzi wako nimekubwaga lakini nasubiri cha asubuhi kwanza nile ndio nikupige chini
Jr[emoji769]
Sasa ni rasmi NCCR ni mchepuko wa CCMKwani amehamia Lumumba au Wapi? Hivi siku hizi NCCR Mageuzi ipo Lumumba au?
Kama swala ni uwezo wa kununua taslimu, CHADEMA inapata ruzuku kubwa kuliko vyama vingine vya upinzani ambayo ingetumika kuwabakisha viongozi wahaokihama na kununua wengine.Mchawi anajulikana ni anayewanunua kwa taslimu na ahadi ya mavyeo kwakuwa yapo mengi.
Hivi mbunge Wa ccm angesema Leo hivo kwamba Mara baada ya mbunge ataondoka ccm je angevumiliwa? Huyu komu hakutumia Akili vizuri, walipaswa kusubiri kwanza.Maamuzi yoyote hayahitaji kuambatana na chuki au ushabiki, hekima ni jambo jema sana. Kwa nini wanachadema waamini kwamba komu anabaki kwa ajili ya posho na kiinua mgongo? Mbona dalili zilioneshwa na Komu toka siku nyingi? Je! Tuamini kwamba chama kilimuacha ili kiendelee kupata ruzuku? Komu hajajitoa CHADEMA ila kaonyesha msimamo wake. Kwa nini CHADEMA chama cha demokrasia kisiheshimu msimamo wake? Nafikiri uwazi ni sifa mojawapo ya wanademokrasia na Komu amekuwa muwazi.
Nilichogundua unaweza kuwa fed up kiasi kwamba hata uvumilivu ukakushinda, inaonesha dhahiri Chadema kunamambo yahovyo sana yanaendelea huku Ccm wakiwa wamejipanga vyema zaid yao!
- Kimsingi chadema hakuna wazee,kama wapo hawatumiki ipasavyo
- Pia chama kinauongozi dhaifu kuanzia mwenyekiti,katibu,mwenezi nk.
- Chama kinawatu wanaoogopeka wanaojiona uanachama wao ni special zaidi.
- Hawaruhusu mijadala huru, ukiwa tofauti unaitwa pandikizi ama msaliti.
- Cdm kimeshindwa kujibadilisha kutoka siasa za maandamano na kutukana,kimeshindwa kujiestablish kidigitali kutumia TV,radio,mitandao nk.
- Chama hakishawishi wasomi badala yake wasomi wanakikimbia nacho hakitilii maanani hilo.
- Viongozi chadema wanapoteza fursa nyingo kwa kukandamizwa na Ccm na chama hakijitoi kuwalinda kinawaacha wajipiganie.
- Kuna viongozi wananufaika na hela za chama ikiwemo ruzuku huku wengine wakikatwa hela zao mf. Mishahara ya wabunge nk.
- Chama hakioneshi mwelekeo was ushindi mbeleni,kimekosa umoja na mashirikiano pindi kikihitaji zaidi na kinamakundi ndani kwa ndani.
- Mizizi ya chama imeoza kuanzia wenyeviti ngazi za chini kutokuwepo hapo lazima chama kipukutike.
- Chama hakina think tank kama kina Kitilla Mkumbo,Zitto,Ben Saanane nk. na hakina wavujisha siri toka serikalini.
- Ukali wa Magu na team yake (mfano RC's,DC's ...) umewatisha sana Cdm hasa viongozi wake kutothubutu kukosoa hovyo na kujiinua kiharakati hata majimboni mwao.
Yapo mengi yakutafakariwa na chadema kabla chama hakijala mweleka mbaya...
Chee ninani amewakremisha kudukua mawasiliano ni haramu??? Nani huyo mjinga!!! Dunia hii ilojaa usaliti na ugaidi usidukue???..hata ccm hayo mambo mabaya kuzidi hayo yaliyoko cdm.
..hukuona jinsi Mzee Makamba, Mzee Kinana, na Mzee Membe, walivyodukuliwa?
..sasa kwa mambo ya kipumbavu na kijinai kama hayo, unaweza kusema watu wazima walioko ccm wanatumika vizuri?
..na kwa taarifa yako kila anayehama ccm dola inamuandama.
.
Nilichogundua unaweza kuwa fed up kiasi kwamba hata uvumilivu ukakushinda, inaonesha dhahiri Chadema kunamambo yahovyo sana yanaendelea huku Ccm wakiwa wamejipanga vyema zaid yao!
- Kimsingi chadema hakuna wazee,kama wapo hawatumiki ipasavyo
- Pia chama kinauongozi dhaifu kuanzia mwenyekiti,katibu,mwenezi nk.
- Chama kinawatu wanaoogopeka wanaojiona uanachama wao ni special zaidi.
- Hawaruhusu mijadala huru, ukiwa tofauti unaitwa pandikizi ama msaliti.
- Cdm kimeshindwa kujibadilisha kutoka siasa za maandamano na kutukana,kimeshindwa kujiestablish kidigitali kutumia TV,radio,mitandao nk.
- Chama hakishawishi wasomi badala yake wasomi wanakikimbia nacho hakitilii maanani hilo.
- Viongozi chadema wanapoteza fursa nyingo kwa kukandamizwa na Ccm na chama hakijitoi kuwalinda kinawaacha wajipiganie.
- Kuna viongozi wananufaika na hela za chama ikiwemo ruzuku huku wengine wakikatwa hela zao mf. Mishahara ya wabunge nk.
- Chama hakioneshi mwelekeo was ushindi mbeleni,kimekosa umoja na mashirikiano pindi kikihitaji zaidi na kinamakundi ndani kwa ndani.
- Mizizi ya chama imeoza kuanzia wenyeviti ngazi za chini kutokuwepo hapo lazima chama kipukutike.
- Chama hakina think tank kama kina Kitilla Mkumbo,Zitto,Ben Saanane nk. na hakina wavujisha siri toka serikalini.
- Ukali wa Magu na team yake (mfano RC's,DC's ...) umewatisha sana Cdm hasa viongozi wake kutothubutu kukosoa hovyo na kujiinua kiharakati hata majimboni mwao.
Yapo mengi yakutafakariwa na chadema kabla chama hakijala mweleka mbaya...
Wewe ndio una 'kitapiamlo' maana unaamini chadema haitakiwi kukosolewa wala kujikosoa... Wao ndiyo wanapaswa kukosoa wengine tena na kuwatukana juu!! Ujinga huo.Ni rahisi zaidi kufikiria kwa niaba ya mwingine kuliko kufikiria kwa niaba yako?
Ikiwa wewe waona hivyo, utakuwa una utapia mlo wa siasa. Ni vema mtu kutambua kuwa shughuli hizi za siasa zimegubikwa na mitanziko mingi na hawa binadamu wanaoshughulika nazo wana jukumu kubwa sana kwa niaba ya uma. Kutoa mawazo kama hayo maana yake ni kuvunja moyo jamii.
Maendeleo ya jamii hutokana na aina ya roho za wanajamii, na ikiwa wengine kama wewe mnaona wengine hawana maana, jamii hiyo itapataje maendeleo?
Sent using Jamii Forums mobile app