CHADEMA wamshangaa Komu kusubiri posho za ubunge, wajiandaa kumtosa

CHADEMA wamshangaa Komu kusubiri posho za ubunge, wajiandaa kumtosa

Mh. Komu ametangaza kuhama CHADEMA baada ya muda wake wa utumishi Bungeni kumalizika. Binafsi nimemuelewa maana Mbunge ni mtumishi wa wananchi wote jimboni kwake na ndio maana hata wasio wafuasi wa CHADEMA wapo waliompigia kura.

Tunasubiru tuone nini CHADEMA wataamua ila ikiwa watamvua uanachama ambao utapelekea apoteze nafasi ya kuwatumikia wananchi basi Chadema kwa lugha nyingine watakua wametuambia kuwa kumbe Wabunge ni watumishi wa Chama na yale maneno kuwa tunawatumikia wananchi ni mbwembwe tu?

Katika hili CHADEMA wana nafasi ya kuonyesha ukomavu, njia na demokrasia ya kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema haijawahi kumvua uanachama mbunge wake yoyote.

Hiyo waliweza CCM na CUF tu!
 
Mh. Komu ametangaza kuhama CHADEMA baada ya muda wake wa utumishi Bungeni kumalizika. Binafsi nimemuelewa maana Mbunge ni mtumishi wa Wananchi wote jimboni kwake na ndio maana hata wasio wafuasi wa CHADEMA wapo waliompigia kura.

Tunasubiru tuone nini CHADEMA wataamua ila ikiwa watamvua uanachama ambao utapelekea apoteze nafasi ya kuwatumikia wananchi basi Chadema kwa lugha nyingine watakua wametuambia kuwa kumbe Wabunge ni watumishi wa Chama na yale maneno kuwa tunawatumikia wananchi ni mbwembwe tu?

Ktk hili CHADEMA wana nafasi ya kuonyesha ukomavu, njia na demokrasia ya kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Rubbish! umeshatangaza kuwa wewe si mke wangu , unakaa kwangu wanaume wako wakutombee kwangu? Rubbish!
 
Chama cha Chadema kimesema kimemshangaa Antony Komu kuendelea kubaki CHADEMA ili kusubiri posho na huku Imani,itikadi na falsafa ya chama cha CHADEMA hana huku akiwa na itikadi ya NCCR-
Mageuzi

Amesema kesho wataweka wazi kuhusu hilo na ikiwezekana watamvua uanachama

View attachment 1403459
View attachment 1403460

Chadema tatizo linaanzia hapa. Sasa Makene hayo uliyoandika ni mtizamo wa Chama au wa kwako binafsi wakati vikao rasmi vikisubiriwa? Mnakwama wapi?
Ungesubiri basi vikao ndipo uandike kwa kutumia logo ya Chama.
Imekuwa Mbuzi kila mmoja ana ndevu??
 
Rubbish! umeshatangaza kuwa wewe si mke wangu , unakaa kwangu wanaume wako wakutombee kwangu? Rubbish!
Mke ambaye alichokipata kutoka kwako ni "your last name" tu lakini majukumu mengine yoyote yanayomhusu yeye anajihudumia mwenyewe zaidi tu hata "bill" ya umeme na maji umemwambia achangie kwa sababu anafanya kazi, sasa siku akikwambia anataka kuondoka baada ya miezi miwili kwa kua nyumba yake anamalizia kupaka rangi, Unaumia kwa nini? Sababu ya hako kamchango kidogo utakakokapoteza?

Hudhani ulitakiwa kuwa makini tangu mwanzo na utumize wajibu wako kikamilifu?

Haya Mambo yanayoendelea sasa ndani ya CDM matokeo yako yatakuja kuonekana kwa uzuri zaidi baada ya October 2020. Tuombe uhai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema tatizo linaanzia hapa. Sasa Makene hayo uliyoandika ni mtizamo wa Chama au wa kwako binafsi wakati vikao rasmi vikisubiriwa? Mnakwama wapi?
Ungesubiri basi vikao ndipo uandike kwa kutumia logo ya Chama.
Imekuwa Mbuzi kila mmoja ana ndevu??
Sumaye alisema CDM hakuna protocol, nadhani mifano ndio kama hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni sawa na kumwambia Msichana kwamba huna future naye .....ila siku ukitaka awe anakupa kishikaji....! Yaani kwa ufupi kimwili unamtaka ila kiroho haupo naye kabisa.
 
Komu sio mjinga ,ana akili zake zote timamu pamoja na waliomshauri Wana akili timamu,anajua kwa kufanya alichokifanya atatoswa atavuliwa uanachama na kukosa sifa ya kuwa mbunge hatimaye kukosa stahiki zake zote. Wale wale jamaa wameshamhakikishia atapata kila kitu hata akitimuliwa la sivyo asingefanya hivyo.

Sasa nawasihi sana CHADEMA msimfukuze Komu mwacheni mpaka amalize kipindi chake Cha ubunge,msipomfukuza mtakuwa mmempa adhabu kali sana mkimfukuza mtakuwa mmempunguzia adhabu,mwacheni tu ,Ila huko bungeni kutakuwa kuchungu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom