Pre GE2025 CHADEMA wana uchu na Uroho wa madaraka ndiyo maana hawafanikiwi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hapo sawa, sio kutoa hukumu moja kwa moja

Kwani 2020 waliamua au aliamuliwa?.... 😀 😀 😀
Wapiga kura ndio waliamua kuipa CCM Ushindi wa kishindoo .. kutokana na kazi kubwa iliyokuwa imefanywa na serikali ya CCM katika kuwaletea maendeleo na kuwasogezea huduma karibu yao.
 
Watanzania walishalitambua hilo kitambo sana na huwa wanakiadhibu chama cha Mbowe kwenye sanduku la kura.
Ikiwa ni pamoja na kuiba kura au uchaguzi mazima a la uncle magu. Na mama kesha anza 2024/2025. Amua wewe mpenda madaraka ni yupi.
 
Ikiwa ni pamoja na kuiba kura au uchaguzi mazima a la uncle magu. Na mama kesha anza 2024/2025. Amua wewe mpenda madaraka ni yupi.
CCM hupita kihalali kutokana na imani kubwa waliyonayo watanzania kwa CCM na Serikali yake.
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu Lucas mwashambwa;

1. Mimi nadhani badala ya kupiga propaganda za kijinga na kipumbavu kama hizi za kujadili petty issues, ungeonesha kuwa una akili na ufahamu kwa kuichambua na kuitetea kwa kuonesha uzuri wa miswaada hii mitatu kuhusu mambo ya uchaguzi iliyowasilishwa na serikali ya chama chako ili tukuelewe na kukuunga mkono wewe na chama chako CCM na kisha tuwapuuze CHADEMA..

Kwa mfano;

👉Unaweza kutueleza chaguzi zetu za kisiasa (serikali za mitaa, udiwani, ubunge na Rais) huwa zinakabiliwa na matatizo gani kiasi cha kulalamikiwa na wadau na wananchi kwa ujumla hata serikali kuja na miswaada hii ya sheria hizi tatu ikifikiri kuwa itatatua matatizo hayo?

👉Na hakuna ubaya na wewe kutoa maoni yako iwapo sheria hizi zinajibu matatizo hayo au la..

👉 Na kumbuka kuwa CHADEMA, wao wametoa maoni yao. Maoni ni maoni tu.

👉Hata hivyo, miongoni mwa taasisi zilizotoa maoni bora na iwapo yatachukuliwa na kufanyia kazi, uwezekano wa kupata sheria bora na nzuri za uchaguzi na Tume ya uchaguzi zitakazojibu matatizo ya chaguzi zetu ni CHADEMA, Baraza la Maaskofu Katoliki - TEC, KKKT na TLS...

👉Hebu tuambie sasa, Kwa akili na mtazamo wako, unadhani miswaada hii ya sheria hizi tatu ikiachwa ipite hivhivi kama CCM wanavyopendekeza, itatua changamoto za kiuchaguzi ambazo zimekuwa zikilalamikiwa miaka mingi?

##Kama una akili na ufahamu, hebu shiriki mjadala huu Kwa kujibu swali hilo☝️☝️
 
Yaani CHADEMA kupendekeza mapendekezo yanayotaka kutubebesha na kutuongezea gharama watanzania ndio unaita mawazo bora? Yaani ujinga wa kutaka kuwa na wabunge wawili wawili katika kila jimbo ndio unataka tufumbie macho uroho na uchu huu wa madaraka walio nao CHADEMA? Hii haiwezekani tukabariki ujinga na ushetani huu wanaoutaka CHADEMA kwa maslahi ya matumbo yao. Kama unawaunga mkono kwa hoja hizi za kijinga basi hata wewe kuna tatizo kichwani mwako.

Yaani tuwe na wabunge wawili kwa kila jimbo? Kwa kazi gani? Ndio mahitaji ya watanzania hayo? Ndio suluhisho la kero za wananchi hizo? Ndio akili zenu CHADEMA zilipogota hapo? Kweli ninyi hamna akili kabisa.tena huu ujinga msitake kuuleta tena wala kuuzungumza kwa watu mitaani maana mtashambuliwa mawe waroho wakubwa nyie.
 
Ikiwa chadema wana uchu wa kutaka kuwao goza wananchi inavyo faa,basi ccm wana uroho wa madaraka ndiyo maana wapo tayari kupoteza au kupig watu risasi wanao wahofia kuwazidi ili waendelee kuwa madarakani
 
Jibu hoja kama ulivyoambiwa acha kuwa lijinga lijinga usilojitambuaa ukionaa kila mtu anakuambia wewe ni lijinga jitafakariii,hata kama wewe ni CCM unatakiwa kuwa smart na kuja na hoja zenye kushawishii watu na sio kila mtu anakuona wewe ni zaidii ya chawa yaanii kupe usiyejitambua CCM hatutakii majitu majinga majinga kama wewe ambayo hayawezii kujenga hoja na ushawishii wowote zaidii ya uchawa tuu.Jitafakarii upya ndugu Lucas mwashambwa
 
Kwa hiyo wewe kwa akili yako hiyo ndogo na fupi kama mbuzi unaona ni sahihi kuwa na wabunge wawili katika kila jimbo la uchaguzi? Kwa ujinga huo huo ulionao kichwani mwako unaona ndio mahitaji ya watanzania hayo? Kwa unyumbu wako huo huo ulionao unaona ndio suluhisho la kero za wananchi? Kwa uhayawani wako unaona ndio italeta maendeleo kuwa na wabunge wawili katika kila jimbo? Wewe huna akili kabisa na ni kubwa jinga kabisa .
 
Lucas mwashambwa nikupe nini? Wallahi maana nasemaga hivyoo nadhihakiwa CHADEMA wanataka madaraka kwa nguvu zote
Acha kujipendekeza na wewe kwa nguvu gani wanazotumia,kuhitajii tume huru ya uchaguzii ndiyo kutumia nguvuu,,Tanzania bado watu wajinga ni wengii saana na CCM itaendelea kuwa madarakani hadi siku watu wajinga wajinga kama hawa watakapopewa elimu
 
Jibu hoja iliyopo mezani wewe nyumbu la CHADEMA.je unaona ni sahihi jimbo moja kuwa na wabunge wawili? Ndiyo mahitaji ya watanzania hayo? Ndio suluhisho la kero za wananchi hizo? Jibu hoja na siyo kuruka ruka tu hapa fisi wewe .
Mimi siyo chadema,Mimi ni CCM ila napinga upumbavu wako na uchawa wako uliovuka kiwango umekuwa Sasa lijinga lijinga usiyejielewa japo kidogo tuu!!!!
 
Mimi Lucas mwashambwa je nikivaa kofia na tisheti yangu ya CCM mitatozwa nauli mpya kama naenda dasalama!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…