Pre GE2025 CHADEMA wana uchu na Uroho wa madaraka ndiyo maana hawafanikiwi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa hiyo kwa akili zenu ndogo na kijinga mlizonazo mnaona sawa kuwa na wabunge wawili katika kila jimbo? ndio mahitaji ya watanzania hayo? Ndio majibu ya kero za wananchi hizo? Kwanini mnakuwa waroho wa madaraka nyie?
Hoja ya CHADEMA inajadilika na kuchambulika. Kuna vipengele vya kuviboresha ama kuviondoa.

Jambo kama hilo siyo geni kwenye miswada na maoni. Sasa wewe unaposhadidia kasoro moja huku ukipigia chapuo muswada ambao una kasoro nyingi kuliko hoja zinazowasilishwa na muswada huo.

Wapinzani wa kisiasa siyo maadui wa nchi kama wewe na chawa wenzako mnavyolazimisha. Katiba na sheria vinatambua upinzani, je wewe ni nani uulaani?
 
Ndugu zangu Watanzania,

CHADEMA ni watu wenye uroho na uchu mkubwa sana wa madaraka.ndio maana kwa kila jambo linalojitokeza mbele yao wao huangalia ni vipi watapata na kufaidika zaidi na kupata madaraka kiwepesi. kuliko kuangalia ni vipi wananchi watapata faida na kunufaika.ndio sababu huwezi ukaona CHADEMA wakipigania hoja zinazogusa maisha ya watu na ustawi wao wala kuwa na uchungu na maisha ya watanzania.

Hata katika masuala ya mabadiliko ya kisheria au mabadiliko ya sera au sheria ya aina yoyote ile wao hutafuta upenyo wa kupita utakao warahisishia kazi ya kupata madaraka.hii ndio sababu ya mara nyingi kutaka hoja ya kutugawa watanzania kwa kusema kuwa kuwe na sera ya majimbo na hii ndio sababu pia ya kutaka mfumo wa serikali tatu.

Na sasa wamekuja na kioja cha mwaka na karne kwa kusema kuwa eti kwa kila jimbo kuwe na wabunge wawili yaani mwanamke na mwanaume na kila mmoja apigiwe kura na jinsia yake au kundi lake.yaani wanawake wapige kura kwa mgombea mwanamke na wanaume kwa mgombea wa kiume. Na hapo hapo kuwe na wabunge wengine wa viti maalumu kwa 30% .

Je ndio mahitaji ya watanzania hayo? Ndio kero za wananchi hizo? Ndio wanachohitaji wananchi hicho? Ndicho walichotumwa na wanachama wao? Ndio kilio cha watanzania hicho? Ndio watanzania wamewahi kuzungumza mahali popote pale kuwa wanataka kwa kila jimbo kuwe na wabunge wawili?

Hii yote ni katika dhana ileile na mawazo yale yale na fikira zilezile za kusaka madaraka na uchu wa madaraka na kutafuta upenyo wa kuneemesha matumbo yao na familia zao.bila kujali maumivu watakayo yapata Watanzania katika kubeba gharama za kuwalipa hao wabunge.

Tuwakatae CHADEMA na mambo yake yote .tuwapinge kwa nguvu zetu zote.tusiwape upenyo wa kutimiza adhima zao za kutugawa watanzania na kutubebesha mzigo wa gharama zisizo na msingi.

Siku zote na wakati wote hawajawahi kuwa na dhamira njema kwa watanzania zaidi ya kupigania maslahi ya matumbo yao tu.wao hawana habari na maisha ya watanzania wala shida za watu.wao huangalia ni vipi watamkamua pesa zote mtanzania na kumuacha maskini wa kutupwa.huku wao wakiogelea katika utajiri wa kila kitu na kucheua tu dharau kwa watanzania.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Hatudanganyiki na hoja nyepesi na mfu kama zako
 
Watanzania walishalitambua hilo kitambo sana na huwa wanakiadhibu chama cha Mbowe kwenye sanduku la kura.
Mngekuwa mnaliamini hilo msingeiba uchaguzi mzima mwaka 2019/2020 ,pia mngekuwa mshafanikisha katiba mpya,mnaogopa nn kma mnapendwa na wananchi? Ipo sku mtakuwa past tense
 
IMG_2939.jpg
 
Hoja ya CHADEMA inajadilika na kuchambulika. Kuna vipengele vya kuviboresha ama kuviondoa.

Jambo kama hilo siyo geni kwenye miswada na maoni. Sasa wewe unaposhadidia kasoro moja huku ukipigia chapuo muswada ambao una kasoro nyingi kuliko hoja zinazowasilishwa na muswada huo.

Wapinzani wa kisiasa siyo maadui wa nchi kama wewe na chawa wenzako mnavyolazimisha. Katiba na sheria vinatambua upinzani, je wewe ni nani uulaani?
Hiyo ni kasoro kubwa sana ambayo imeonyesha rangi halisi ya CHADEMA kuwa ni watu wenye uchu wa madaraka na Uroho mkubwa wa madaraka. Haiwezekani CHADEMA wapendekeze ujinga wanaojuwa utaongeza na kumbebesha mzigo mkubwa wa gharama mlipa kodi.wanajuwa kuwa fedha zote zitakuwa zinakwenda kuwahudumia wabunge.sasa kwanini tufumbie macho ujinga huu wa CHADEMA? Kwanini tukae kimya? CHADEMA hawafai hata kidogo kupewa kura ya ndio hata moja kwenye nafasi yoyote ile ya uongozi.
 
Mngekuwa mnaliamini hilo msingeiba uchaguzi mzima mwaka 2019/2020 ,pia mngekuwa mshafanikisha katiba mpya,mnaogopa nn kma mnapendwa na wananchi? Ipo sku mtakuwa past tense
CCM inapendwa na kuaminika na watanzania na ndio maana Inaendelea kuungwa mkono na kupigiwa kura za ndio katika kila uchaguzi .ndio maana pia amani na utulivu vimetamalaki hapa nchini
 
Vijana wengi wa ccm ni wapumbafu wamejivisha miwani za mbao wamejizima data wanatetea upumbafu na kushakia ukijinga wa watawala hawaangalii kesho ya walio wengi
Kwa hiyo unaunga mkono uroho wa kijinga wa CHADEMA wakutaka kila jimbo kuwe na wabunge wawili? Kama unaunga mkono basi huna akili kabisa wewe na ni kubwa jinga kabisa.
 
Sio sahihi ndugu watu wanapata tabu na ni wananchi wenzako watanzania kutokana na hiko chama chako usijizime data ndugu!!!!
CCM Ndio Tumaini la watanzania katika kuwainua kiuchumi na kuwasaidia kutimiza ndoto zao
 
Unajua umeua watu wangapi kwa sababu ya madaraka wewe chawa mwasambya??Tutolee utapeli achana na chama chetu.kama wewe sio chawa na ni mzalendo ungeona ata ufisadi tunaofanyiwa na CCM wananchiii.tunapigwa kila kona barabara majangaa nauri majangaa mafisi wanazidi kutajirika.
 
Hiyo ni kasoro kubwa sana ambayo imeonyesha rangi halisi ya CHADEMA kuwa ni watu wenye uchu wa madaraka na Uroho mkubwa wa madaraka. Haiwezekani CHADEMA wapendekeze ujinga wanaojuwa utaongeza na kumbebesha mzigo mkubwa wa gharama mlipa kodi.wanajuwa kuwa fedha zote zitakuwa zinakwenda kuwahudumia wabunge.sasa kwanini tufumbie macho ujinga huu wa CHADEMA? Kwanini tukae kimya? CHADEMA hawafai hata kidogo kupewa kura ya ndio hata moja kwenye nafasi yoyote ile ya uongozi.
Rangi halisi ya CCM ni kubaka chaguzi zote inazozishiriki.

Hatari ya CDM inatoka wapi wakati ukweli unajulikana kuwa maadui wa kweli ni CCM?
 
CCM inapitaga kihahali kabisa katika kila uchaguzi
 
Wapiga kura ndio waliamua kuipa CCM Ushindi wa kishindoo .. kutokana na kazi kubwa iliyokuwa imefanywa na serikali ya CCM katika kuwaletea maendeleo na kuwasogezea huduma karibu yao.
Sio yule jamaa aliamua kwa nguvu zake... 😀 😀
 
walio amua ni wapiga kura kwa mapenzi yao na upendo wao mkubwa kwa CCM kutokana na kazi kubwa inayonmfaywa na serikali ya CCM Katika kuwapelekea wananchi maendeleo.
 
Back
Top Bottom