Pre GE2025 CHADEMA wana uchu na Uroho wa madaraka ndiyo maana hawafanikiwi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mimi siyo chadema,Mimi ni CCM ila napinga upumbavu wako na uchawa wako uliovuka kiwango umekuwa Sasa lijinga lijinga usiyejielewa japo kidogo tuu!!!!
Hapana ndugu yangu ndani ya CCM hayuna wajinga,mahayawani na watu wasio jitambua aina yako. Hatuna manyumbu kama wewe
 
Lucas mwashambwa nikupe nini? Wallahi maana nasemaga hivyoo nadhihakiwa CHADEMA wanataka madaraka kwa nguvu zote
Wewe unafikiri CCM wako Kwa ajili ya nini?

Kama huna akili ya kufahamu wa kuelewa mambo haya tutakusaidia wewe Unique Flower na nduguyo chawa mwenzako Lucas mwashambwa kuelewa..

CCM ndio waroho wa madaraka kwa 2000% na kuthibitisha hili ndiyo maana wewe UNIQUE Flower, Lucas mwashambwa mliopewa jina la chawa wa mama wadudu wachafu na waharibifu wa mwili wa binadamu ni kuhakikisha mnasaidia kuulinda uroho huo..

CHADEMA na vyama vingine navyo vinataka kushinda na kuongoza serikali. Maoni haya ya CHADEMA ni kinyume kabisa na maudhui ya mada hii toka kwa mleta mada Lucas mwashambwa kuwa CHADEMA ni waroho wa madaraka..

CHADEMA wanataka equal ground kwa ajili ya vyama vya siasa shindani vyote ktk chaguzi zote. Lakini CCM nyie mnatengeneza sheria za kuwakikishia ushindi wa kiwiziwizi kwa sababu katika uwanja sawa wa kushindana, na kwenye uchaguzi huru na wa wazi, CCM hawawezi kupata jimbo la uchaguzi, kata, kijiji au mtaa au kitongoji hata kimoja achilia mbali kushinda kiti cha U - Rais.!!

Wewe Unique Flower na mwenzako Lucas mwashambwa mnadhani ni kwanini mpaka leo hakuna matokeo ya kura za u - Rais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 jimbo kwa jimbo kuonesha Magufuli na Samia walipata kura ngapi? Kwa ufahamu wenu wa kisoda mnadhani John P. Magufuli au huyu chawa wenu mkuu Rais MamaSamia2025 alishinda uchaguzi huo? Kama alishinda ziko wapi kura jimbo kwa jimbo sawa sawa na sheria inavyotaka? Si alitangazwa tu? Yaani wizi wa mchana kweupe!....

Huo ☝️☝️☝️kama sio uroho wa madaraka ni kitu gani eti nyie chawa wakubwa??

Maoni ya CHADEMA yanalenga kurekebisha haya.

Sheria hizi zinapopingwa na kukosolewa na wadau mnawaita wenzenu waroho wa madaraka. Wewe na chawa wenzenu mna akili kweli nyie? I guess ndio maana mnaitwa chawa..!!

Propaganda hizi za kijinga na kipumbavu hazitawasaidia kuzuia mabadiliko chanya watakayo Watanzania ..!!
 
Iwapo sungura ataonekana anauchu sijui fisi ataonekanaje🤔.
 
Wewe ni nyumbu tu na fisi usiye na akili.
Hivii huonii kila mtu humu anakuona wewe ni kubwa jinga hata hujifunzii kitu au unahisi kila mtu humu anakuchukiaa??? By the way acha uchawa,,,uchawa ni laaana!!!!!
 
Uchu wa madaraka mtu ambaye hajawahi tawala? Mwenye uchu wa madaraka ni yule anayetawala na kuzuia wenzake wasitawale.
 
Hivii huonii kila mtu humu anakuona wewe ni kubwa jinga hata hujifunzii kitu au unahisi kila mtu humu anakuchukiaa??? By the way acha uchawa,,,uchawa ni laaana!!!!!
Mafisi na manyumbu aina yako hayanipi shida hata kidogo. Maana najuwa hamna akili
 
Uchu wa madaraka mtu ambaye hajawahi tawala? Mwenye uchu wa madaraka ni yule anayetawala na kuzuia wenzake wasitawale.
CCM ipo madarakani kwa ridhaa ya wananchi ambao huipa kura za ndio kwa kishindo katika kila uchaguzi.
 
CCM ipo madarakani kwa ridhaa ya wananchi ambao huipa kura za ndio kwa kishindo katika kila uchaguzi.
Acha uchawa ndugu yangu Lucas mwashambwa uchawa ni laanaa,,,huwezii kulisaidia taifa lako kwa kuwa chawa kama wewe,,,,##kataa uchawa uchawa ni laaana
 
CCM ipo madarakani kwa ridhaa ya wananchi ambao huipa kura za ndio kwa kishindo katika kila uchaguzi.
Hivii unaongea hivii ukiwa Tz hapahapa na ukiwa na akili zako timamu kabisaa na unategemea mtu mwenye akili akuamini,,,kiukwelii uchawa ni laana huwezii kuwa chawa bila kufungia akili zako timamu kabatinii,,,,### kataa uchawa,uchawa ni laana!!!!
 
sasa ambae mwenye uchu ni wewe.
huku wengi wameingia kwa id fake iwe wa ccm au upinzani ila weww umejibanaisha kwa jina lako kwa kuwa chawa wa ccm.
lakini above all nahisi wewe huna kazi ndo maana unakuwa huku jf mda wote ukitongoza wanaume wenzako.
utakuja kutongoza jini na ndo mwisho wako
 
Kama wewe una kazi ungejuaje na unawezaje kujuwa kuwa mimi nipo huku muda wote? Mimi nina kazi na wala hapa siyo kazini pangu na wala siyo mahali pa kupatia kipato changu.
 
Hivii unaongea hivii ukiwa Tz hapahapa na ukiwa na akili zako timamu kabisaa na unategemea mtu mwenye akili akuamini,,,kiukwelii uchawa ni laana huwezii kuwa chawa bila kufungia akili zako timamu kabatinii,,,,### kataa uchawa,uchawa ni laana!!!!
Nenda mahali popote pale uone kama hutaikuta CCM na Wana CCM. Lakini ni ngumu sana kuikuta CHADEMA vijijini huko.leo hata vyuoni vijana karibu wote wana kadi za CCM na UVCCM.
 
Unayo hoja ya msingi lakini msingi zaidi ni kwamba CCM imechokwa na sisi wananchi tunahitaji tubadili uongozi isionekane nyinyi pekee ndo mnaweza kuongoza nchi kuliko wenzenu huo ndo ubinafsi tunaosema!!!
 
Ni CCM Pekee yenye uwezo wa kuiongoza Tanzania na kuiletea maendeleo.
 
Vijana wengi wa ccm ni wapumbafu wamejivisha miwani za mbao wamejizima data wanatetea upumbafu na kushakia ukijinga wa watawala hawaangalii kesho ya walio wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…