Pre GE2025 CHADEMA wana uchu na Uroho wa madaraka ndiyo maana hawafanikiwi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa hiyo kwa akili zenu ndogo na kijinga mlizonazo mnaona sawa kuwa na wabunge wawili katika kila jimbo? ndio mahitaji ya watanzania hayo? Ndio majibu ya kero za wananchi hizo? Kwanini mnakuwa waroho wa madaraka nyie?
Hoja ya CHADEMA inajadilika na kuchambulika. Kuna vipengele vya kuviboresha ama kuviondoa.

Jambo kama hilo siyo geni kwenye miswada na maoni. Sasa wewe unaposhadidia kasoro moja huku ukipigia chapuo muswada ambao una kasoro nyingi kuliko hoja zinazowasilishwa na muswada huo.

Wapinzani wa kisiasa siyo maadui wa nchi kama wewe na chawa wenzako mnavyolazimisha. Katiba na sheria vinatambua upinzani, je wewe ni nani uulaani?
 
Hatudanganyiki na hoja nyepesi na mfu kama zako
 
Watanzania walishalitambua hilo kitambo sana na huwa wanakiadhibu chama cha Mbowe kwenye sanduku la kura.
Mngekuwa mnaliamini hilo msingeiba uchaguzi mzima mwaka 2019/2020 ,pia mngekuwa mshafanikisha katiba mpya,mnaogopa nn kma mnapendwa na wananchi? Ipo sku mtakuwa past tense
 

 
Hiyo ni kasoro kubwa sana ambayo imeonyesha rangi halisi ya CHADEMA kuwa ni watu wenye uchu wa madaraka na Uroho mkubwa wa madaraka. Haiwezekani CHADEMA wapendekeze ujinga wanaojuwa utaongeza na kumbebesha mzigo mkubwa wa gharama mlipa kodi.wanajuwa kuwa fedha zote zitakuwa zinakwenda kuwahudumia wabunge.sasa kwanini tufumbie macho ujinga huu wa CHADEMA? Kwanini tukae kimya? CHADEMA hawafai hata kidogo kupewa kura ya ndio hata moja kwenye nafasi yoyote ile ya uongozi.
 
Mngekuwa mnaliamini hilo msingeiba uchaguzi mzima mwaka 2019/2020 ,pia mngekuwa mshafanikisha katiba mpya,mnaogopa nn kma mnapendwa na wananchi? Ipo sku mtakuwa past tense
CCM inapendwa na kuaminika na watanzania na ndio maana Inaendelea kuungwa mkono na kupigiwa kura za ndio katika kila uchaguzi .ndio maana pia amani na utulivu vimetamalaki hapa nchini
 
Vijana wengi wa ccm ni wapumbafu wamejivisha miwani za mbao wamejizima data wanatetea upumbafu na kushakia ukijinga wa watawala hawaangalii kesho ya walio wengi
Kwa hiyo unaunga mkono uroho wa kijinga wa CHADEMA wakutaka kila jimbo kuwe na wabunge wawili? Kama unaunga mkono basi huna akili kabisa wewe na ni kubwa jinga kabisa.
 
Sio sahihi ndugu watu wanapata tabu na ni wananchi wenzako watanzania kutokana na hiko chama chako usijizime data ndugu!!!!
CCM Ndio Tumaini la watanzania katika kuwainua kiuchumi na kuwasaidia kutimiza ndoto zao
 
Unajua umeua watu wangapi kwa sababu ya madaraka wewe chawa mwasambya??Tutolee utapeli achana na chama chetu.kama wewe sio chawa na ni mzalendo ungeona ata ufisadi tunaofanyiwa na CCM wananchiii.tunapigwa kila kona barabara majangaa nauri majangaa mafisi wanazidi kutajirika.
 
Rangi halisi ya CCM ni kubaka chaguzi zote inazozishiriki.

Hatari ya CDM inatoka wapi wakati ukweli unajulikana kuwa maadui wa kweli ni CCM?
 
Rangi halisi ya CCM ni kubaka chaguzi zote inazozishiriki.

Hatari ya CDM inatoka wapi wakati ukweli unajulikana kuwa maadui wa kweli ni CCM?
CCM inapitaga kihahali kabisa katika kila uchaguzi
 
Wapiga kura ndio waliamua kuipa CCM Ushindi wa kishindoo .. kutokana na kazi kubwa iliyokuwa imefanywa na serikali ya CCM katika kuwaletea maendeleo na kuwasogezea huduma karibu yao.
Sio yule jamaa aliamua kwa nguvu zake... πŸ˜€ πŸ˜€
 
Sio yule jamaa aliamua kwa nguvu zake... πŸ˜€ πŸ˜€
walio amua ni wapiga kura kwa mapenzi yao na upendo wao mkubwa kwa CCM kutokana na kazi kubwa inayonmfaywa na serikali ya CCM Katika kuwapelekea wananchi maendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…