Travelogue_tz
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 855
- 1,224
CHADEMA wameshapata mtazamo na muelekeo wa matakwa ya wanachama wao.
Katika sayansi ya siasa, kitu kikubwa kinachoitajika katika kufanya maamuzi ni kuelewa vizuri mapokeo yake.
Hivyo kama chadema itawavua uanachama itapata support ya umma, na vita dhidi ya dola itaongezeka mada dufu, kwa kuwa hii ni kete yao muhimu sana.