CHADEMA, Wanachosubiri wanachama wenu mnakijua: Ni uchaguzi dhidi ya dola au umma

Hiyo itikadi yenu ndio itaweka Gari za viongozi mafuta?

Hiyo itikadi yenu ndio italipa mishahara kwa wafanyakazi?

Hiyo itikadi yenu ndio italipa ukumbi wa mikutano?
Chama ni chetu tuliweza kuwachangia viongozi wetu fine ya millioni 320.

Tukaendesha kampeni za mgombea urais, wabunge na madiwani kwa michango yetu tutashindwa kuendesha chama ?
 
Imekuwaje Sasa mmfukuza wafanya kazi pale makao makuu?
 
Back
Top Bottom