Travelogue_tz
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 855
- 1,224
Hi itakua kinyume chakeChadema wameshapata mtazamo na muelekeo wa matakwa ya wanachama wao. Katika sayansi ya siasa, kitu kikubwa kinachoitajika katika kufanya maamuzi ni kuelewa vizuri mapokeo yake. Hivyo kama chadema itawavua uanachama itapata support ya umma, na vita dhidi ya dola itaongezeka mada dufu, kwa kuwa hii ni kete yao muhimu sana.
Hi itakua kinyume chake
Ngoja tuone kikao kitaamua nini....
Kama.nchi hii inafuata utawala wa sheria na haki hapa kuna watu wangekwenda jela. Kama mnyika anakana kwa nafasi yake chama kutoshiriki huyo aliyepeleka majina ni nani na alipataje huo ujasiri??? Ingeundwa time huru kuchunguza na kila muhusika awajibishwe kwa nafasi yake kuanzia speaker na hao TISS waliomtoa mtu usiku gerezaniTunataka iwe hivyo angaia nguvu kubwa inayotumika huku Mwanasheria Mkuu akidai wasiguswe, Ndugai anadai atawainda kwa nguvu kubwa, Mahare anadai amepewa majina kwa uhaisia utaona kuna nguvu kubwa ya kuwaiinda dhidi ya hujuma ya chama. Kama wameitwa na hawakwenda watimuiiwe tuu.
Kuna wakati sio wa kusikiliza wanachama kwa matakwa yaoChadema wameshapata mtazamo na muelekeo wa matakwa ya wanachama wao. Katika sayansi ya siasa, kitu kikubwa kinachoitajika katika kufanya maamuzi ni kuelewa vizuri mapokeo yake. Hivyo kama chadema itawavua uanachama itapata support ya umma, na vita dhidi ya dola itaongezeka mada dufu, kwa kuwa hii ni kete yao muhimu sana.
Wachawi nao, yule mliekuwa mnamloga siku zote leo mwampigania.Wengi mnaombea iwe hivyo lakini haitotokea!
Hajafukuzwa mtu na hafukuzwi mtuChadema wameshapata mtazamo na muelekeo wa matakwa ya wanachama wao. Katika sayansi ya siasa, kitu kikubwa kinachoitajika katika kufanya maamuzi ni kuelewa vizuri mapokeo yake. Hivyo kama chadema itawavua uanachama itapata support ya umma, na vita dhidi ya dola itaongezeka mada dufu, kwa kuwa hii ni kete yao muhimu sana.