CHADEMA, Wanachosubiri wanachama wenu mnakijua: Ni uchaguzi dhidi ya dola au umma

Mkuu hapo umeuliza swali au umeuliza jibu?

Ukiitwa kwenye "UE" ukaacha kutokea yaani Ila "abscond" unaendelea kusubiri matokeo kuwa labda huja disco?

Hiiii bagosha!
Nimeuliza swali Ila nimesahau kuweka kiulizo tu. Nahitaji kusikia maamuzi ya kuwafukuza tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichogundua ukiwa mtu wa kufuatilia haya mambo sijui viti maalum ,sijui mdee mara sijui Mbowe na mnyika unaumiza ubongo wako bure ni bora tu mtu ufanye mambo yako
 
CHADEMA wakiwafukuza wakina Mdee watapoteza mashabiki wao tu ambao sio wengi. BAWACHA karibu yote imewakana.
CHADEMA wakiwasamehe watapoteza imani ya wengi na hata BAWACHA wataamini kuwa kuna wenye chama chao.

Mbaya zaidi juhudi za ziada zinafanywa ili kuonyesha Mbowe yuko upande wao na Mnyika ndio mbaya. Wakisamehewa mzigo wote atatwishwa Mbowe na atabaki yeye, hao aliowatetea na system inayowapigia kifua.

Amandla...
 
Mpumbavu ni mumeo
 
Aisee
 
Chama ni itikadi siyo fedha zilizojaa damu za wanachama wetu.

Chama chetu kinathamini haki na utu wa wanachama wetu.

Hatuwezi kamwe kwenda kuungana na mtu ambaye kashikilia maelfu ya wanachama wetu kinyume cha sheria.

Never
 

Chama ni itikadi siyo fedha zilizojaa damu za wanachama wetu.

Chama chetu kinathamini haki na utu wa wanachama wetu.

Hatuwezi kamwe kwenda kuungana na mtu ambaye kashikilia maelfu ya wanachama wetu kinyume cha sheria.

Never
Hiyo itikadi yenu ndio itaweka Gari za viongozi mafuta?

Hiyo itikadi yenu ndio italipa mishahara kwa wafanyakazi?

Hiyo itikadi yenu ndio italipa ukumbi wa mikutano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…