Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,110
- 5,010
Kama mwaka jana wagombea wa Chadema na ACT waliondolewa uchaguzi wa serikali za mtaa unadhani wasimamizi wale wale wataweza kumtangaza diwani wa upinzani?
Uchu wa madaraka umekuwa mkubwa lakini undugu na ufamilia umeongezeka sana nchini jambo ambalo linapelekea utu kuondoka mioyoni mwa wajukuu wa mwalimu
CHADEMA KWA KUFAHAMU HIVYO NDIYO MAANA UNAONA WANAPAMBANA MFUMO UBADILIKE JAPO HAKI IWE INAONEKANA HATA KWA MBALI.
Natabiri kampeni za mwaka 2025 hazitakuwepo na bunge hata kama ACT watashiriki na kupewa wabunge kuficha fedhea halitakuwa na mvuto kama maisha yanavyokwenda sasa. Natabiri mpasuko mkubwa miongoni mwa viongozi wa dini na hata taasisi za kimataifa jambo litakalopelekea Tanzania kuanza kuonekana kama nchi isiyo na haki wala utawala wa sheria.
TUKUBALI KUJENGA UMOJA WA KITAIFA KULIKO KUIMARISHA FAMILIA ZA KISIASA ZINAZOHITAJI USHINDANI WA HOJA.