Uchaguzi wa 2025 , ni lazima uwe wa Haki, unajua , Uchaguzi sio tu faida ya CHADEMA, ni Maisha ya Mtanzania.
Ni Raha wananchi walio wengi kutawaliwa na Kiongozi walomchagua wao wenyewe ,lkn pia hii humpa Heshima Mwananchi ,na Kiongozi atawajibikia Wananchi Moja Kwa Moja.
Unaweza jiuliza, kwann Wabunge na watia nia wote wa CCM, Kwa Sasa wanashindana kumsifia Rais Samia??.
Ni sababu wanaamini, Rais Samia akikukubali, ww tayari ni Mbunge hata kama wananchi hawakutaki.
Hivo Kufanya mwananchi Kwa Sasa Haina maana yoyote ile na kwakua Haina maana , utadharauliwa.
Mimi Naungana na LISSU , NO REFORMS NO ELECTION!!.... likifanikiwa hili, hata Vijana wenye Nia za kua viongozi, watakua pasipo Uchawa, Rushwa .