CHADEMA wanafanya siasa za kimkakati sana, kila agenda yao lazima inasumbua mamlaka

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
539
Reaction score
3,507
Tunafundishwa katika chumba kimoja toka shule ya msingi Hadi sekondari na vyuo. Katika maisha ya shule na vyuo watu wenye akili mara nyingi uwa na tabia yakuburuzwa kimaarifa na walimu au watu wengine. Ni watu wanaojua mema na mabaya, ni watu wamejaaliwa kuona mbele sana. Wengi uishia kufukuzwa shule au kuwekwa kwenye kundi la wanafunzi wakorofi.

Watu Hawa wenye akili na ambao walipaswa kusimamiwa wafikie malengo yao na akili zao zitusaidie uishia kutengwa na TAASISI za elimu,familia na jamii kwa ujumla kutokana na watawala kutumia nguvu zao kuwapa utambulisho mbaya.

Watu wa aina hii ndio ugeuka kuwa wapinzani wa kweli, uzaliwa wakiwa wapinzani, upingana na dhuluma kwenye maeneo yao na mwisho wa siku wakiingia kwenye siasa uwasha moto mkibwa sana wa mapinduzi.

Tofauti na Hawa, Wapo watoto ambao ufauli si kwa sababu Wana akili Bali kwa sababu wamejaaaliwa kuwa na rasilimali zote zinazohitajika kielimu kufaulu. Wengi uwa na misingi yakukariri kila kitu kinachopaswa kukaririwa ilimradi wafaulu mitihani. Hawa wengi wanapozudi kwenye jamii upokelewa kwa bashasha na watawala na kukabidhiwa jamii au taaisisi waongoze. Matokeo yake uzaliwa taasisi butu kifikra na zilizojengwa kwenye spoon speeding ( kila kitu lazima kiwepo ndipo aonyeshe kupaform).

Nimeweka aiana hizi mbili za watu kusaidia hoja hii ya uimara wa Chadema. Mara nyingi watu wanaojiunga Chadema Ni wale waliokataliwa kwenye siasa na maisha na kuonekana waaini. Uja kuonekana wa muhimu pale tu wanapofanikiwa vinginevyo jamii uaminishwa si watu.

Watu wanaojiunga ccm ni wale tu wenye moyo wakusaliti kila kitu almradi wasema ndiyo kwa Kiongozi aliyepo. Ni watu waliozoea kukariri u wanaojiandaa kujifunza kukariri.

Niseme nakubaliana sana na watu wakorofi na waliokataliwa na jamii maana hao ndio wenye akili za mageuzi ya kizazi au familia. Mwenyenzi Mungu awawezeshe CHADEMA kusimamia haki na kuongoza mapambano ya ukombozi wetu hata kama tutakata tamaa nakuwasaliti. Wao wasikate tamaa waendelee kuibua kizazi Cha kuhoji maana hata kizazi hizo kikisaliti bado kitasaliti kikiwa na chembechembe za uzalendo na siku moja watafanya Kama ESTA wa kwenye biblia.
 
kwani mama anasemaje!!

yaani huyu ataanza kufunga watu mapema kuliko mjuba alivyoanza.
 
Mara nyingi watu wanaojiunga Chadema Ni wale waliokataliwa kwenye siasa na maisha na kuonekana waaini. Uja kuonekana wa muhimu pale tu wanapofanikiwa vinginevyo jamii uaminishwa si watu.
Ni kweli mkuu

Mfano mzuri ni Lowassa
 
Tunafundishwa katika chumba kimoja toka shule ya msingi Hadi sekondari na vyuo. Katika maisha ya shule na vyuo watu wenye akili mara nyingi uwa na tabia yakuburuzwa kimaarifa na walimu au watu wengine. Ni watu wanaojua mema na mabaya, ni watu wamejaaliwa kuona mbele sana. Wengi uishia kufukuzwa shule au kuwekwa kwenye kundi la wanafunzi wakorofi.

Watu Hawa wenye akili na ambao walipaswa kusimamiwa wafikie malengo yao na akili zao zitusaidie uishia kutengwa na TAASISI za elimu,familia na jamii kwa ujumla kutokana na watawala kutumia nguvu zao kuwapa utambulisho mbaya.

Watu wa aina hii ndio ugeuka kuwa wapinzani wa kweli, uzaliwa wakiwa wapinzani, upingana na dhuluma kwenye maeneo yao na mwisho wa siku wakiingia kwenye siasa uwasha moto mkibwa sana wa mapinduzi.

Tofauti na Hawa, Wapo watoto ambao ufauli si kwa sababu Wana akili Bali kwa sababu wamejaaaliwa kuwa na rasilimali zote zinazohitajika kielimu kufaulu. Wengi uwa na misingi yakukariri kila kitu kinachopaswa kukaririwa ilimradi wafaulu mitihani. Hawa wengi wanapozudi kwenye jamii upokelewa kwa bashasha na watawala na kukabidhiwa jamii au taaisisi waongoze. Matokeo yake uzaliwa taasisi butu kifikra na zilizojengwa kwenye spoon speeding ( kila kitu lazima kiwepo ndipo aonyeshe kupaform).

Nimeweka aiana hizi mbili za watu kusaidia hoja hii ya uimara wa Chadema. Mara nyingi watu wanaojiunga Chadema Ni wale waliokataliwa kwenye siasa na maisha na kuonekana waaini. Uja kuonekana wa muhimu pale tu wanapofanikiwa vinginevyo jamii uaminishwa si watu.

Watu wanaojiunga ccm ni wale tu wenye moyo wakusaliti kila kitu almradi wasema ndiyo kwa Kiongozi aliyepo. Ni watu waliozoea kukariri u wanaojiandaa kujifunza kukariri.

Niseme nakubaliana sana na watu wakorofi na waliokataliwa na jamii maana hao ndio wenye akili za mageuzi ya kizazi au familia. Mwenyenzi Mungu awawezeshe CHADEMA kusimamia haki na kuongoza mapambano ya ukombozi wetu hata kama tutakata tamaa nakuwasaliti. Wao wasikate tamaa waendelee kuibua kizazi Cha kuhoji maana hata kizazi hizo kikisaliti bado kitasaliti kikiwa na chembechembe za uzalendo na siku moja watafanya Kama ESTA wa kwenye biblia.
Kwa hakika. Kwanza wewe mwenyewe inaonesha ni mtu mwenye maarifa makubwa usiyependa dhuluma.
Kwa hakika andiko lako hili watanzania tutakuja kulikumbuka.

HAKI, UHURU,MAENDELEO YA WATU.

KATIBA MPYA.
 
Ccm waliosema chadema imekufa, kwa Sasa wameanza kulialia, hivi vyama vingine vipi? Mbona chadema tu?
 
CHADEMA wanajitahidi sn
Unajua kizazi cha watu' wanaohoji kwa fikra' makini kwa mstakabali wowote endelevu wa taifa, naona kinazidi kupotea kwa spidi ya 5G huko bongo, na wengi waliobakia ni fikra za za bora liende, tonge mdomoni....
 
Back
Top Bottom