CHADEMA wanafuatilia zaidi mchakato wa kura za maoni za CCM, kuliko CCM wenyewe, unadhani ni kwanini?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Kila mdau wa JF ni shuhuda kwenye hilo, kwasababu liko wazi sana.

Je, Chadema wameona kwamba,

CCM ni darasa tosha la siasa na wanajifunza demokrasia kwa maneno na vitendo, au upweke unaowakumba baada ya chama chao kusambaratishwa na uropokaji wa viongozi wao wapya wakuu, umewakosesha cha kufanya na kwahivyo wameona ni bora kupata uelewa na ufahamu wa kutosha kuhusu masuala ya demokrasia na utawala bora kupitia mchakato wa kura za maoni za ccm?

Au wewe unadhani nini kinawachochea CHADEMA na upinzani kwa ujumla nchini, kufuatilia kwa karibu zaidi michakato ya kura za maoni za ccm kuelekea uchaguzui mkuu wa october 29,2025?

Twende pamoja live na wanaCHADEMA nchi nzima kufuatilia matangazo ya moja kwa moja kuhusu watia nia wa CCM, walioteuliwa na kamati kuu, kwaajili ya kupigiwa kura za maoni na wajumbe tarehe 4.8.2025.

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Kama Nyie Mnavyoifuatilia Chadema
Wakati Mmewapiga Spana Kila Kona,
Na Hata Usiku Hamlali Na Mkilala Mnaota Mang'amung'amu Ya NRNE
 
Wewe ndio unaifuatilia CHADEMA Sana. Maana kila kitu ni CHADEMA wakati CHADEMA haishiriki uchaguzi ila kila saa unaiongelea CHADEMA, mpaka inaonekana nati zimelegea kwa upande wako.
 
Kila mdau wa JF ni shuhuda kwenye hilo, kwasababu liko wazi sana.

Je, Chadema wameona kwamba,

CCM ni darasa tosha la siasa na wanajifunza demokrasia kwa maneno na vitendo, au upweke unaowakumba baada ya chama chao kusambaratishwa na uropokaji wa viongozi wao wapya wakuu, umewakosesha cha kufanya na kwahivyo wameona ni bora kupata uelewa na ufahamu wa kutosha kuhusu masuala ya demokrasia na utawala bora kupitia mchakato wa kura za maoni za ccm?

Au wewe unadhani nini kinawachochea chadema na upinzani kwa ujumla nchini, kufuatilia kwa karibu zaidi michakato ya kura za maoni za ccm kuelekea uchaguzui mkuu wa october 29,2025?

Twende pamoja live na wanaCHADEMA nchi nzima kufuatilia matangazo ya moja kwa moja kuhusu watia nia wa ccm, walioteuliwa na kamati kuu, kwaajili ya kupigiwa kura za maoni na wajumbe tarehe 4.8.2025.

Mungu Ibariki Tanzania.
Cdm wafuatilie habari za chama cha wazee??
 
CHADEMA ipi,we si umeandika walaka mreeefu kusema CHADEMA imeparanganyika?
 
downloadfile.jpg
 
Cdm wafuatilie habari za chama cha wazee??
hongereni sana chadema kwa kuamua kuacha mambo yenu mengine na kufuatilia mchakato wa kura za maoni za ccm, kuna mambo muhimu sana mtajifunza aise,

well done kamanda.
 
Walikosea Sana kumuamini Lissu
wanapata darasa la demokrasia kutoka ccm huku wakijutia uamuzi wao wa kukurupuka kwa kumpa nafasi huyo kibaraka kua kiongozi wao
 
In maana wakati Chadema inafanya Uchaguzi hakuna ma-ccm yaliyokuwa yakifuatilia?
 
CHADEMA ipi,we si umeandika walaka mreeefu kusema CHADEMA imeparanganyika?
hii hii ambayo nawe umo na unafuatilia kwa karibu sana mchakato wa kura za maoni za ccm,

well done gentlema, kuna kitu muhimu sana utapata
 
wanapata darasa la demokrasia kutoka ccm huku wakijutia uamuzi wao wa kukurupuka kwa kumpa nafasi huyo kibaraka kua kiongozi wao
Demokrasia ni Subjective Matter,,, ukiulizwa mbona mgombea mmoja utasema Utamaduni...
Wanafki bana...
 
In maana wakati Chadema inafanya Uchaguzi hakuna ma-ccm yaliyokuwa yakifuatilia?
sidhani na sina uhakika gentleman kama kuna wana ccm walikua wanababaika na mambo ya hiyo chama labda wana habari.
 
Attachments

  • 1&.png
    1&.png
    4.5 MB · Views: 35
Demokrasia ni Subjective Matter,,, ukiulizwa mbona mgombea mmoja utasema Utamaduni...
Wanafki bana...
nashauri tu,
pamoja wanachadema wengi kufuatilia mambo ya ccm, naomba msiumie mioyo kwasababu hayawahusu gentleman
 
Back
Top Bottom