CHADEMA wanafuatilia zaidi mchakato wa kura za maoni za CCM, kuliko CCM wenyewe, unadhani ni kwanini?

Attachments

  • IMG_20230308_125209.jpg
    IMG_20230308_125209.jpg
    399.3 KB · Views: 21
Kila mdau wa JF ni shuhuda kwenye hilo, kwasababu liko wazi sana.

Je, Chadema wameona kwamba,

CCM ni darasa tosha la siasa na wanajifunza demokrasia kwa maneno na vitendo, au upweke unaowakumba baada ya chama chao kusambaratishwa na uropokaji wa viongozi wao wapya wakuu, umewakosesha cha kufanya na kwahivyo wameona ni bora kupata uelewa na ufahamu wa kutosha kuhusu masuala ya demokrasia na utawala bora kupitia mchakato wa kura za maoni za ccm?

Au wewe unadhani nini kinawachochea chadema na upinzani kwa ujumla nchini, kufuatilia kwa karibu zaidi michakato ya kura za maoni za ccm kuelekea uchaguzui mkuu wa october 29,2025?

Twende pamoja live na wanaCHADEMA nchi nzima kufuatilia matangazo ya moja kwa moja kuhusu watia nia wa ccm, walioteuliwa na kamati kuu, kwaajili ya kupigiwa kura za maoni na wajumbe tarehe 4.8.2025.

Mungu Ibariki Tanzania.
Ipo hadithi ya fisi aliyemfuatilia binadamu muda mrefu akitarajia mkono wake utaanguka Ili apate kitoweo.
CHADEMA karata iliyobaki mikononi mwao ya kuwapa Cha kusema ni kuombea Mpasuko utokee CCM. Ni ile style ya adui muombee njaa.
 
Kila mdau wa JF ni shuhuda kwenye hilo, kwasababu liko wazi sana.

Je, Chadema wameona kwamba,

CCM ni darasa tosha la siasa na wanajifunza demokrasia kwa maneno na vitendo, au upweke unaowakumba baada ya chama chao kusambaratishwa na uropokaji wa viongozi wao wapya wakuu, umewakosesha cha kufanya na kwahivyo wameona ni bora kupata uelewa na ufahamu wa kutosha kuhusu masuala ya demokrasia na utawala bora kupitia mchakato wa kura za maoni za ccm?

Au wewe unadhani nini kinawachochea CHADEMA na upinzani kwa ujumla nchini, kufuatilia kwa karibu zaidi michakato ya kura za maoni za ccm kuelekea uchaguzui mkuu wa october 29,2025?

Twende pamoja live na wanaCHADEMA nchi nzima kufuatilia matangazo ya moja kwa moja kuhusu watia nia wa CCM, walioteuliwa na kamati kuu, kwaajili ya kupigiwa kura za maoni na wajumbe tarehe 4.8.2025.

Mungu Ibariki Tanzania.
Kufuatilia sio tatizo hata wewe uliyeandika huu utafiti uchwara ulikuwa mmoja wa waliokuwa wanafuatilia na kuandika kila kilichokuwa kinaendelea kwenye uchaguzi wa viongozi wa chadema kabla na baada ya uchaguzi.

Mtafiti uchwara.
 
  • 2&.jpg
    2&.jpg
    85.1 KB · Views: 18
Hebu rusheni live ndio tuamini kama kila mmoja anafuatilia. Chadema walikuwa wanarusha live na watu kuona
sasa hapa hatutaki utafiti uchwara ushahidi ni muhimu. Wewe ulikuwa ni mmojna ccm wote kufuatilia habari za chadema kwenye uchaguzi kabla na baada.
 
hongereni sana chadema kwa kuamua kuacha mambo yenu mengine na kufuatilia mchakato wa kura za maoni za ccm, kuna mambo muhimu sana mtajifunza aise,

well done kamanda.
Tujifunze kwa wazee?!
 
Kila mdau wa JF ni shuhuda kwenye hilo, kwasababu liko wazi sana.

Je, Chadema wameona kwamba,

CCM ni darasa tosha la siasa na wanajifunza demokrasia kwa maneno na vitendo, au upweke unaowakumba baada ya chama chao kusambaratishwa na uropokaji wa viongozi wao wapya wakuu, umewakosesha cha kufanya na kwahivyo wameona ni bora kupata uelewa na ufahamu wa kutosha kuhusu masuala ya demokrasia na utawala bora kupitia mchakato wa kura za maoni za ccm?

Au wewe unadhani nini kinawachochea CHADEMA na upinzani kwa ujumla nchini, kufuatilia kwa karibu zaidi michakato ya kura za maoni za ccm kuelekea uchaguzui mkuu wa october 29,2025?

Twende pamoja live na wanaCHADEMA nchi nzima kufuatilia matangazo ya moja kwa moja kuhusu watia nia wa CCM, walioteuliwa na kamati kuu, kwaajili ya kupigiwa kura za maoni na wajumbe tarehe 4.8.2025.

Mungu Ibariki Tanzania.
Wamepoteza dira.Wanadandia matukio tu
 
Back
Top Bottom