Kila mdau wa JF ni shuhuda kwenye hilo, kwasababu liko wazi sana.
Je, Chadema wameona kwamba,
CCM ni darasa tosha la siasa na wanajifunza demokrasia kwa maneno na vitendo, au upweke unaowakumba baada ya chama chao kusambaratishwa na uropokaji wa viongozi wao wapya wakuu, umewakosesha cha kufanya na kwahivyo wameona ni bora kupata uelewa na ufahamu wa kutosha kuhusu masuala ya demokrasia na utawala bora kupitia mchakato wa kura za maoni za ccm?
Au wewe unadhani nini kinawachochea chadema na upinzani kwa ujumla nchini, kufuatilia kwa karibu zaidi michakato ya kura za maoni za ccm kuelekea uchaguzui mkuu wa october 29,2025?
Twende pamoja live na wanaCHADEMA nchi nzima kufuatilia matangazo ya moja kwa moja kuhusu watia nia wa ccm, walioteuliwa na kamati kuu, kwaajili ya kupigiwa kura za maoni na wajumbe tarehe 4.8.2025.
Mungu Ibariki Tanzania.
ni jambo jema kujifunza michakato ya kidemokrasia kwa uwazi kutoka kwenye vyama vya siasa vinavyofany vizuri zaidi eneo hilo ikiwa ni pamoja na chadema.so what !!! machawa chaguzi tunajua tayari ni fake. Yaani eti wamejiandikisha watu milioni 37 wakati watu wote wenye umri wa kupiga kura ni milioni 35-36!!!!!. Hii biashara ya siasa tutaimaliza tu
ile ile ya vibaka na matapeli wachache washupaza shingo ambao wamepoteza uelekeoNi kutafuta udhaifu wao uko wapi wapate pa kupiga. Halafu we si ulisema chadema imesambaratika mjuba? Sasa hiyo chadema ya kufuatilia mikutano ya ccm imetoka wapi?
AkilizakotuKila mdau wa JF ni shuhuda kwenye hilo, kwasababu liko wazi sana.
Je, Chadema wameona kwamba,
CCM ni darasa tosha la siasa na wanajifunza demokrasia kwa maneno na vitendo, au upweke unaowakumba baada ya chama chao kusambaratishwa na uropokaji wa viongozi wao wapya wakuu, umewakosesha cha kufanya na kwahivyo wameona ni bora kupata uelewa na ufahamu wa kutosha kuhusu masuala ya demokrasia na utawala bora kupitia mchakato wa kura za maoni za ccm?
Au wewe unadhani nini kinawachochea chadema na upinzani kwa ujumla nchini, kufuatilia kwa karibu zaidi michakato ya kura za maoni za ccm kuelekea uchaguzui mkuu wa october 29,2025?
Twende pamoja live na wanaCHADEMA nchi nzima kufuatilia matangazo ya moja kwa moja kuhusu watia nia wa ccm, walioteuliwa na kamati kuu, kwaajili ya kupigiwa kura za maoni na wajumbe tarehe 4.8.2025.
Mungu Ibariki Tanzania.
Chadema na CCM ndugu kasoro majina,,, meza ya juu wanapigania matumbo yao,, nyie machawa mnapigania mabaki,, mashabiki wanavimbisha tu mishipa ya shingo..nashauri tu,
pamoja wanachadema wengi kufuatilia mambo ya ccm, naomba msiumie mioyo kwasababu hayawahusu gentleman
Chadema na CCM ndugu kasoro majina,,, meza ya juu wanapigania matumbo yao,, nyie machawa mnapigania mabaki,, mashabiki wanavimbisha tu mishipa ya shingo..
Mchezo wa Si-Hasa itawashika hisia watumwa wanaotumika,, maana hisia ndo mtaji wa mwanasiasa gentleman...
Ni vigumu sana kwa mtu mwenye akili sawasawa kuacha kufuatilia mchakato wa kupata viongozi ndani ya CCM.
Sababu zipo nyingi, na kama unazo akili nzuri utajua hata tatu tu.
Kwanza kabisa CHADEMA kama chama kikuu cha upinzani nchini hakitoshiriki uchaguzi.
Pili, kwa mazingira yaliyopo nchini na kwa yaliyotokea 2020 ni wazi hata kama CHADEMA wakishiriki uchaguzi, ni ngumu sana kutangazwa washindi kwa ngazi yoyote ile.
Sasa katika mazingira hayo, mgombea atakayepita huko CCM ndio atakuwa kiongozi na mfanya maamuzi katika nchi yetu kwa miaka mitano inayokuja na hao watu wataishi na kufanyiwa kila kitu kwa kodi zetu wananchi wote, SIO kodi za WanaCCM pekee.
Katika hali hiyo, kila mwenye akili angefuatilia na angeomba, kwakuwa CCM wameamua kwamba wao ndio wenye hati miliki ya uongozi katika taifa hili, ni vyema wakatuletea viongozi sahihi. Vinginevyo, tutaenda kuwa taifa la aina yake.
Kila mdau wa JF ni shuhuda kwenye hilo, kwasababu liko wazi sana.
Je, Chadema wameona kwamba,
CCM ni darasa tosha la siasa na wanajifunza demokrasia kwa maneno na vitendo, au upweke unaowakumba baada ya chama chao kusambaratishwa na uropokaji wa viongozi wao wapya wakuu, umewakosesha cha kufanya na kwahivyo wameona ni bora kupata uelewa na ufahamu wa kutosha kuhusu masuala ya demokrasia na utawala bora kupitia mchakato wa kura za maoni za ccm?
Au wewe unadhani nini kinawachochea chadema na upinzani kwa ujumla nchini, kufuatilia kwa karibu zaidi michakato ya kura za maoni za ccm kuelekea uchaguzui mkuu wa october 29,2025?
Twende pamoja live na wanaCHADEMA nchi nzima kufuatilia matangazo ya moja kwa moja kuhusu watia nia wa ccm, walioteuliwa na kamati kuu, kwaajili ya kupigiwa kura za maoni na wajumbe tarehe 4.8.2025.
Mungu Ibariki Tanzania.
astala victoria sie-mpre gentleman