Cdm wafuatilie habari za chama cha wazee??Kila mdau wa JF ni shuhuda kwenye hilo, kwasababu liko wazi sana.
Je, Chadema wameona kwamba,
CCM ni darasa tosha la siasa na wanajifunza demokrasia kwa maneno na vitendo, au upweke unaowakumba baada ya chama chao kusambaratishwa na uropokaji wa viongozi wao wapya wakuu, umewakosesha cha kufanya na kwahivyo wameona ni bora kupata uelewa na ufahamu wa kutosha kuhusu masuala ya demokrasia na utawala bora kupitia mchakato wa kura za maoni za ccm?
Au wewe unadhani nini kinawachochea chadema na upinzani kwa ujumla nchini, kufuatilia kwa karibu zaidi michakato ya kura za maoni za ccm kuelekea uchaguzui mkuu wa october 29,2025?
Twende pamoja live na wanaCHADEMA nchi nzima kufuatilia matangazo ya moja kwa moja kuhusu watia nia wa ccm, walioteuliwa na kamati kuu, kwaajili ya kupigiwa kura za maoni na wajumbe tarehe 4.8.2025.
Mungu Ibariki Tanzania.
Kila mdau wa JF ni shuhuda kwenye hilo, kwasababu liko wazi sana.

Demokrasia ni Subjective Matter,,, ukiulizwa mbona mgombea mmoja utasema Utamaduni...wanapata darasa la demokrasia kutoka ccm huku wakijutia uamuzi wao wa kukurupuka kwa kumpa nafasi huyo kibaraka kua kiongozi wao