CHADEMA wanafuatilia zaidi mchakato wa kura za maoni za CCM, kuliko CCM wenyewe, unadhani ni kwanini?

Ni kutafuta udhaifu wao uko wapi wapate pa kupiga. Halafu we si ulisema chadema imesambaratika mjuba? Sasa hiyo chadema ya kufuatilia mikutano ya ccm imetoka wapi?
 

so what !!! machawa chaguzi tunajua tayari ni fake. Yaani eti wamejiandikisha watu milioni 37 wakati watu wote wenye umri wa kupiga kura ni milioni 35-36!!!!!. Hii biashara ya siasa tutaimaliza tu
 
so what !!! machawa chaguzi tunajua tayari ni fake. Yaani eti wamejiandikisha watu milioni 37 wakati watu wote wenye umri wa kupiga kura ni milioni 35-36!!!!!. Hii biashara ya siasa tutaimaliza tu
ni jambo jema kujifunza michakato ya kidemokrasia kwa uwazi kutoka kwenye vyama vya siasa vinavyofany vizuri zaidi eneo hilo ikiwa ni pamoja na chadema.
thats very important thing wanachadema wameamua kujifunza kutoka ccm.
 
Ni kutafuta udhaifu wao uko wapi wapate pa kupiga. Halafu we si ulisema chadema imesambaratika mjuba? Sasa hiyo chadema ya kufuatilia mikutano ya ccm imetoka wapi?
ile ile ya vibaka na matapeli wachache washupaza shingo ambao wamepoteza uelekeo
 
Akilizakotu
 
Uwe unai discuss hata chaumma, we Kila siku chadema, chadema, chadema, huchoki kuiwaza?
 
nashauri tu,
pamoja wanachadema wengi kufuatilia mambo ya ccm, naomba msiumie mioyo kwasababu hayawahusu gentleman
Chadema na CCM ndugu kasoro majina,,, meza ya juu wanapigania matumbo yao,, nyie machawa mnapigania mabaki,, mashabiki wanavimbisha tu mishipa ya shingo..
Mchezo wa Si-Hasa itawashika hisia watumwa wanaotumika,, maana hisia ndo mtaji wa mwanasiasa gentleman...
 
Ni vigumu sana kwa mtu mwenye akili sawasawa kuacha kufuatilia mchakato wa kupata viongozi ndani ya CCM.

Sababu zipo nyingi, na kama unazo akili nzuri utajua hata tatu tu.

Kwanza kabisa CHADEMA kama chama kikuu cha upinzani nchini hakitoshiriki uchaguzi.
Pili, kwa mazingira yaliyopo nchini na kwa yaliyotokea 2020 ni wazi hata kama CHADEMA wakishiriki uchaguzi, ni ngumu sana kutangazwa washindi kwa ngazi yoyote ile.

Sasa katika mazingira hayo, mgombea atakayepita huko CCM ndio atakuwa kiongozi na mfanya maamuzi katika nchi yetu kwa miaka mitano inayokuja na hao watu wataishi na kufanyiwa kila kitu kwa kodi zetu wananchi wote, SIO kodi za WanaCCM pekee.

Katika hali hiyo, kila mwenye akili angefuatilia na angeomba, kwakuwa CCM wameamua kwamba wao ndio wenye hati miliki ya uongozi katika taifa hili, ni vyema wakatuletea viongozi sahihi. Vinginevyo, tutaenda kuwa taifa la aina yake.

​
 
 

Attachments

  • IMG-20250728-WA0025.jpg
    85.1 KB · Views: 25
 

Attachments

  • IMG-20250728-WA0024.jpg
    26.4 KB · Views: 28
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…