CHADEMA wanafuatilia zaidi mchakato wa kura za maoni za CCM, kuliko CCM wenyewe, unadhani ni kwanini?

Ipo hadithi ya fisi aliyemfuatilia binadamu muda mrefu akitarajia mkono wake utaanguka Ili apate kitoweo.
CHADEMA karata iliyobaki mikononi mwao ya kuwapa Cha kusema ni kuombea Mpasuko utokee CCM. Ni ile style ya adui muombee njaa.
 
Kufuatilia sio tatizo hata wewe uliyeandika huu utafiti uchwara ulikuwa mmoja wa waliokuwa wanafuatilia na kuandika kila kilichokuwa kinaendelea kwenye uchaguzi wa viongozi wa chadema kabla na baada ya uchaguzi.

Mtafiti uchwara.
 
Kufuatilia sio tatizo hata wewe uliyeandika huu utafiti uchwara ulikuwa mmoja wa waliokuwa wanafuatilia na kuandika kila kilichokuwa kinaendelea kwenye uchaguzi wa viongozi wa chadema kabla na baada ya uchaguzi.

Mtafiti uchwara.
 

Attachments

  • 2&.jpg
    85.1 KB · Views: 18
Hebu rusheni live ndio tuamini kama kila mmoja anafuatilia. Chadema walikuwa wanarusha live na watu kuona
sasa hapa hatutaki utafiti uchwara ushahidi ni muhimu. Wewe ulikuwa ni mmojna ccm wote kufuatilia habari za chadema kwenye uchaguzi kabla na baada.
 
hongereni sana chadema kwa kuamua kuacha mambo yenu mengine na kufuatilia mchakato wa kura za maoni za ccm, kuna mambo muhimu sana mtajifunza aise,

well done kamanda.
Tujifunze kwa wazee?!
 
Wamepoteza dira.Wanadandia matukio tu
 
hii hii ambayo nawe umo na unafuatilia kwa karibu sana mchakato wa kura za maoni za ccm,

well done gentlema, kuna kitu muhimu sana utapata
Kumbe Bado ipo,nikajua imepangaranyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…