Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Kwa iyo unamaanisha muuaji wenu ndo chaguo la Mungu?Nyumbu hawafikirii kabisa, kila linalotokea wanasahau hawana kumbukumbu kabisaaa.
Leo Kuna nyumbu bado wanaona Lissu ni chaguo la mungu! Huyo Lissu ni chaguo la beberu lake Amsterdam na nyumbu tu, Mungu hajawahi kumchagua huyo mbwatukaji.
Hata kuandika hujui alafu unabishana na great thinkers?? KilazaChampion =Chamwino
Mungu mwenyezi, Muumba wa mbingu na ardhiMpango wa MUNGU yupi?!
Wewe ndio unapiga ramli mchana kweupe
Huo ndo umbumbumbu unao wasumbua mashabiki wa siasa. Niliwaambia kabla ya uchaguzi mtakuja na nyimno zenu zile za tangu 1995, enzi za Lyatonga.Hata kuandika hujui alafu unabishana na great thinkers?? Kilaza
Jifunze kwanza kuandika. Huo mwaka 95 kwa taarifa yako nilikuwa form 3. Kijana timamu ninayejielewaHuo ndo umbumbumbu unao wasumbua mashabiki wa siasa. Niliwaambia kabla ya uchaguzi mtakuja na nyimno zenu zile za tangu 1995, enzi za Lyatonga.
Samahani kama nimekuvalisha kiatu kikubwa maana mlio wengi humu ndo mda huo muna zaliwa.
Pole sana kwa kuchagua upande wa kushindwa tu.Jifunze kwanza kuandika. Huo mwaka 95 kwa taarifa yako nilikuwa form 3. Kijana timamu ninayejielewa
Pole sana kwa kuchagua upande wa kushindwa tu.
MATAGA mmehamaki baada ya mchezo wenu kuvurugika 🤣🤣🤣
Lissu kama Lissu hana matatizo,lakini kuna genge linatumia mgongo wa Lissu kufanikisha malengo yao,wala hawajui Lissu anapigania nini.Chadema ilikuwa imeshaondoka kwenye siasa za kiuanaharakati na kuwa chama kinachjiandaa kushika dola.Kuja kwa Lissu kumerudisha chama miaka 10 nyuma.Lazima kuachana naye
Kwanza hakuna mtu anayeweza kumvua uanachama wa CHADEMA Mdee kwa sababu ana mizizi ndani ya chama kama alivyo Freeman Mbowe, Lucy Owenya na Grace Kihwelu.
Pili, Mnyika anajaribu kufahamu kinachoendelea lakini hakijui na siku ya Ijumaa ndio atakijua na huenda akajiuzulu.
Mzee Lowassa aliondoka CHADEMA lakini mzimu wake bado unaitafuna na hasa ule uwekezaji wake katika saikolojia ya wanachama wa CHADEMA.
Kiufupi, harakati za Tundu Lissu na amri zake haziendani na utamaduni wa CHADEMA na mabwanyenye wa Ufipa st hawazifurahii kwahiyo lazima waachane naye kisayansi.
Halima Mdee na wenzake wataruhusiwa na kamati kuu kuendelea na Ubunge na ambaye hatafurahishwa ataruhusiwa ama kujiuzulu nafasi za uongozi au kujivua uanachama.
Mungu wabariki wabunge wa CHADEMA.
Maendeleo hayana vyama!
Lisu kakimbia madeni aliwalaghai wenzie kuwa pesa zitaletwa na Amsterdam uchaguzi ukiisha ulivyoisha tu akatorokea ubalozini bila kuwaambia wenzie kisha mbio akatimka ulaya mideni kamtelekezea Mbowe
Mbowe ana hasira na Lisu
Msemaji wa waliomkopesha Lisu swali lingine?Umekuwa msemaji wa Lisu ?
Wajinga sana hawa vijanaBavicha mnamuogesha Mdee matusi wakati mlikuwa mnasifu juzi tu hapa
Nini maana ya kujielewa, sikia,Polee wewe kwa kutojielewa
Usijisumbue bure kupiga ramli cdm inawenyewe na hawatatetereka asilan ww unafahamu uzito wa mdee,mbowe,lisu na mnyika? Hivyo ni vichwa vilivyopita kwenye tanuri la moto vimesafishika na vimekomaa subiri uone sehemu ya pili 2025 cdm hatoki mtuuuKwanza hakuna mtu anayeweza kumvua uanachama wa CHADEMA Mdee kwa sababu ana mizizi ndani ya chama kama alivyo Freeman Mbowe, Lucy Owenya na Grace Kihwelu.
Pili, Mnyika anajaribu kufahamu kinachoendelea lakini hakijui na siku ya Ijumaa ndio atakijua na huenda akajiuzulu.
Mzee Lowassa aliondoka CHADEMA lakini mzimu wake bado unaitafuna na hasa ule uwekezaji wake katika saikolojia ya wanachama wa CHADEMA.
Kiufupi, harakati za Tundu Lissu na amri zake haziendani na utamaduni wa CHADEMA na mabwanyenye wa Ufipa st hawazifurahii kwahiyo lazima waachane naye kisayansi.
Halima Mdee na wenzake wataruhusiwa na kamati kuu kuendelea na Ubunge na ambaye hatafurahishwa ataruhusiwa ama kujiuzulu nafasi za uongozi au kujivua uanachama.
Mungu wabariki wabunge wa CHADEMA.
Maendeleo hayana vyama!
Ni kweli wengi walimfuata Lissu tu mbowe kauza wabunge wa kike kitumwa Bungeni ili asikose ruzuku sasa kichwa kinamuuma jinsi ya kuwahadaa wanachadema asijulikane kachukua bilion 3 toka CCM peke yakeCcm mnahaha humu ndani wengi tuliamia chadema kwa sababu ya lisu na sio akina mbowe