CHADEMA wanamkana Tundu Lissu kisayansi kama walivyomtenda Dkt. Slaa, Lissu hana nafasi tena CHADEMA!

CHADEMA wanamkana Tundu Lissu kisayansi kama walivyomtenda Dkt. Slaa, Lissu hana nafasi tena CHADEMA!

Nyumbu hawafikirii kabisa, kila linalotokea wanasahau hawana kumbukumbu kabisaaa.
Leo Kuna nyumbu bado wanaona Lissu ni chaguo la mungu! Huyo Lissu ni chaguo la beberu lake Amsterdam na nyumbu tu, Mungu hajawahi kumchagua huyo mbwatukaji.
Kwa iyo unamaanisha muuaji wenu ndo chaguo la Mungu?
 
Hata kuandika hujui alafu unabishana na great thinkers?? Kilaza
Huo ndo umbumbumbu unao wasumbua mashabiki wa siasa. Niliwaambia kabla ya uchaguzi mtakuja na nyimno zenu zile za tangu 1995, enzi za Lyatonga.
Samahani kama nimekuvalisha kiatu kikubwa maana mlio wengi humu ndo mda huo muna zaliwa.
 
Jifunze kwanza kuandika. Huo mwaka 95 kwa taarifa yako nilikuwa form 3. Kijana timamu ninayejielewa
 
Nimeamini kuna watu wanalipwa alafu hakuna watu waso haya kama CCM

Ninyi si ndo mlioshabikia kuwa wapinzani wanafifisha maendeleo
 
Chadema ilikuwa imeshaondoka kwenye siasa za kiuanaharakati na kuwa chama kinachjiandaa kushika dola.Kuja kwa Lissu kumerudisha chama miaka 10 nyuma.Lazima kuachana naye
Lissu kama Lissu hana matatizo,lakini kuna genge linatumia mgongo wa Lissu kufanikisha malengo yao,wala hawajui Lissu anapigania nini.
Lakini wamesahau kuwa CCM ni Mwenyekiti wa majungu na fitina katika siasa za kusini mwa jangwa la Sahara kwa zaidi ya miaka 60.
Naona CCM wameanza kumwaga upupu,hizo dalili sio rafiki kwa Chadema ya Lissu na ACT Wazalendo ya Zitto.
Wasipoachana na figisu zao sitashangaa kusikia wamegeuka CUF ya Lipumba.
 
Kauli ya J.J Mnyika eti watu watoe maoni cha kufanya huo ni utoto kana kwamba chama hakina machinery,kwa sasa nataka TL atoke hadharani aongee anachokijua sie tutamsikiliza huyo sio hao waganga njaa.Akina Mnyika wanategemea kulipwa salary kwa Ruzuku ndio waishi na kundi jingine la dizaini hiyo kwa hiyo hawawezi kuwa na msimamo wowote maana wana njaa
 
Lisu kakimbia madeni aliwalaghai wenzie kuwa pesa zitaletwa na Amsterdam uchaguzi ukiisha ulivyoisha tu akatorokea ubalozini bila kuwaambia wenzie kisha mbio akatimka ulaya mideni kamtelekezea Mbowe

Mbowe ana hasira na Lisu
 
Kwanza hakuna mtu anayeweza kumvua uanachama wa CHADEMA Mdee kwa sababu ana mizizi ndani ya chama kama alivyo Freeman Mbowe, Lucy Owenya na Grace Kihwelu.

Pili, Mnyika anajaribu kufahamu kinachoendelea lakini hakijui na siku ya Ijumaa ndio atakijua na huenda akajiuzulu.

Mzee Lowassa aliondoka CHADEMA lakini mzimu wake bado unaitafuna na hasa ule uwekezaji wake katika saikolojia ya wanachama wa CHADEMA.

Kiufupi, harakati za Tundu Lissu na amri zake haziendani na utamaduni wa CHADEMA na mabwanyenye wa Ufipa st hawazifurahii kwahiyo lazima waachane naye kisayansi.

Halima Mdee na wenzake wataruhusiwa na kamati kuu kuendelea na Ubunge na ambaye hatafurahishwa ataruhusiwa ama kujiuzulu nafasi za uongozi au kujivua uanachama.

Mungu wabariki wabunge wa CHADEMA.

Maendeleo hayana vyama!

Umekuwa msemaji wa CHADEMA???
 
Lisu kakimbia madeni aliwalaghai wenzie kuwa pesa zitaletwa na Amsterdam uchaguzi ukiisha ulivyoisha tu akatorokea ubalozini bila kuwaambia wenzie kisha mbio akatimka ulaya mideni kamtelekezea Mbowe

Mbowe ana hasira na Lisu

Umekuwa msemaji wa Lisu ?
 
Kwanza hakuna mtu anayeweza kumvua uanachama wa CHADEMA Mdee kwa sababu ana mizizi ndani ya chama kama alivyo Freeman Mbowe, Lucy Owenya na Grace Kihwelu.

Pili, Mnyika anajaribu kufahamu kinachoendelea lakini hakijui na siku ya Ijumaa ndio atakijua na huenda akajiuzulu.

Mzee Lowassa aliondoka CHADEMA lakini mzimu wake bado unaitafuna na hasa ule uwekezaji wake katika saikolojia ya wanachama wa CHADEMA.

Kiufupi, harakati za Tundu Lissu na amri zake haziendani na utamaduni wa CHADEMA na mabwanyenye wa Ufipa st hawazifurahii kwahiyo lazima waachane naye kisayansi.

Halima Mdee na wenzake wataruhusiwa na kamati kuu kuendelea na Ubunge na ambaye hatafurahishwa ataruhusiwa ama kujiuzulu nafasi za uongozi au kujivua uanachama.

Mungu wabariki wabunge wa CHADEMA.

Maendeleo hayana vyama!
Usijisumbue bure kupiga ramli cdm inawenyewe na hawatatetereka asilan ww unafahamu uzito wa mdee,mbowe,lisu na mnyika? Hivyo ni vichwa vilivyopita kwenye tanuri la moto vimesafishika na vimekomaa subiri uone sehemu ya pili 2025 cdm hatoki mtuuu
 
Ccm mnahaha humu ndani wengi tuliamia chadema kwa sababu ya lisu na sio akina mbowe
Ni kweli wengi walimfuata Lissu tu mbowe kauza wabunge wa kike kitumwa Bungeni ili asikose ruzuku sasa kichwa kinamuuma jinsi ya kuwahadaa wanachadema asijulikane kachukua bilion 3 toka CCM peke yake
 
Back
Top Bottom