CHADEMA wanamkana Tundu Lissu kisayansi kama walivyomtenda Dkt. Slaa, Lissu hana nafasi tena CHADEMA!

Usijisumbue bure kupiga ramli cdm inawenyewe na hawatatetereka asilan ww unafahamu uzito wa mdee,mbowe,lisu na mnyika? Hivyo ni vichwa vilivyopita kwenye tanuri la moto vimesafishika na vimekomaa subiri uone sehemu ya pili 2025 cdm hatoki mtuuu
Mbowe asipowafukuza akina mdee kesho ajue chadema inafariki ghafra kama CUF ya Lipumba
 
Bandiko lako linaangaluzia zaidi matakwa ya wachumia tumbo kuliko kufuata taratibu tulizojiwekea kama Taifa, Chama nk, Akina Mdee na wenzake kula kiapo katika viwanja vya bunge hakuwapi ridhaa ya kuwapo bungeni wakati hawajapatikana kwa taratibu tulizojiwekea katika katiba yetu.
 
Chadema hakuna unafiki ndiyo maana tumeamua kumchana Live mbowe kuwa kesho asipowafukuza watumwa wa kike aliowauza huko Bungeni kienyeji kwa njia haramu za kishetani ,atambue kuwa chadema inaenda kufariki kifo kibaya cha ghafra kama CUF ya Lipumba.
 
blah blah!
halima anakuwa nIbu waziri na ester bulaya.
mataga mmebaki mnabwabwaja tu mitandaoni
 
Kwanini nyie Mataga msikae na kupanga mipango yenu? Au hakuna mambo ya kujadili zaidi ya Chadema na Lissu?
 
Huu ndiyo ukweli mchungu, wasipowafukuza hao Malaya mimi na Chadema bye bye japo sina kadi ya uanachama.
 
Wacha tu siasa za bongo zirun maisha yangu hapa Tanzania lkn kuhusu mim kuendelea kuzifatilia nimenawa mikono.....
 
Dili la kuuza wabunge wa kike kitumwa kwa Ndungai limepigwa na mbowe na Salum mwalimu Dalali ni polepole na akina bulaya, Mnyika na Lissu hawakujua mapema wamezungukwa kijanja ingawa wakipiga kelele huenda mbowe akawapa mgao toka kwenye bilion 3 alizopewa, mbowe hakutarajia kuwa huenda akakibomoa chama alidhani watu wamelala atawahadaa kijanja maisha yaendelee lakini sasa wanasubiria kesho waone maamuzi yake yatakuwaje?

Endapo hatathubutu kutoa maamuzi magumu ya kuwafukuza akina Mdee ndipo atakuwa amekiua chama kitafariki na kuzikwa kabsa atabakia na ruzuku lakini chadema itakuwa level ya CUF ya Lipumba
 
Wacha tu siasa za bongo zirun maisha yangu hapa Tanzania lkn kuhusu mim kuendelea kuzifatilia nimenawa mikono.....
Chadema ipo ICU na njia pekee ya kuiokoa chadema isifariki ni kuwafukuza wabunge wa kike waliouzwa kitumwa kienyeji kwa Ndungai
 
Leo nime prove kuwa wewe nawe ni wa hovyo kama wenzako! What kind of analysis is that? Kuna watu nimewapiga block kuepuka kupoteza muda kusoma rubbish! You are the next!
Bahati mbaya kabisa, bado utakuwa hujahama duniani!!!
 
Naona mna hofu sana ya chadema kufa wakat hilo ndo lengo la meko
 
Mdee apewe tuzo ya heshima kwa kuwapigania vema wanawake.
Lisu keshamaliza kona,hana jipya tena.
 
Hongera mtabiri maarufu Tanzania na nchi za jirani.upinzani uko mioyoni mwa watu,sio mdee Wala mbowe.cdm ni aluta continua
 
Mbowe asipowafukuza akina mdee kesho ajue chadema inafariki ghafra kama CUF ya Lipumba

Na akiwafukuza hawafukuziki wapo mikononi mwa spika bora awaache walivyo mtoto huwa hafukuzwi nyumbani kwa makosa
 

Anafikiri ww pekee ndio unajua siasa za awam hii? Wengi wanajua wapo wenye ujasiri kama wako wanasema wangine kwa hofu wako kimya na huu ndio mfumo tutakaokwenda nao mpaka 2025 upinzani watakuwa wanagawiwa viti mpinzani jeuri atakula jeuri yake hatimar wooote watakuwa ccm hapo ndio bakora zitaanza wao kwa wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…