kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Makamanda ni watu wa matukio sana, kila linapotokea jambo huwa wanashadadia sana. Hivi sasa wamesahau hata kama wana mgonjwa kule Ulaya, wamesahau kama Halima Mdee na Lema pia wana kesi kama ya Assad huko Bungeni.
Hawana ajenda nyingine wanashindana kushusha nyuzi zenye mfanano wa mawazo. Wamesahau matukio yote ya siku nne nyuma hata maazimio ya kikao chao cha Kamati Kuu hawakumbuki kuyajadili.
Kuna Nassari ambaye hatma yake haijulikani mpaka sasa lakini naye wamemsahau.
Yaani makamanda kama Assad atasema najiunga na CHADEMA basi ni dhahiri atapewa nafasi ya kugombea urais.
Labda makamanda niwafahamishe tu hivi mnavyomtamani Assad ni kama kipindi kile mlivyomtamani Mwakyembe alipokuwa akimtungua Lowassa, Nape aliposhikiwa bastola, Bashe alipokuwa anasumbua Bungeni, Maalim Seif alipokuwa anagaragazwa na Lipumba.
Niwashauri tu huyu naye atapita suala lililopo ni kujitayarisha na mbilinge za 2020 maana Serikali za mitaa mmeshachelewa kama kikao cha Kamati Kuu kilivyoazimia!
Wananchi wanahitaji shule, Barabara, mahospitali, maji na mengineyo na hayo mara nyingi ndio wana CCM huyajadili na kuyapa kipaumbele!