CHADEMA wanapinga NEC kuunganishwa kwenye Kesi ya Halima Mdee na wenzake. Je, ni kwa faida ya nani?

Hiyo kisheria inaitwa pleminary objection ili kesi itupiliwe mbali bila hata kusikilizwa na kupoteza muda huku covid 19 wakiivuta ifike 2025
 
NEC ni wahuni chini ya Ibilisi Mahera kwa hiyo baraka zake mahakamani zitakwamisha msimamo wa CHADEMA.
 
Wateule halali wa Ibilisi Mahera,Magufuri na Job Ndugai.
 
CHADEMA wana akili kubwa kuliko mleta mada. Wameona mbali Sana.

Kikatiba NEC haihojiwi wala kushitakiwa na chombo chochote. Huo ndiyo msingi wa pingamizi.
Washauri waachane na kina Halima Mdee. Wakomae na katiba mpya naona kama wamejisahaulisha vile au ndio mambo ya kulamba asali!
 
Watu waliotoka sayari nyeusi hawawezi kuelewa mantiki.
NEC haishitakiwi na kuishitaki ni kuipoteza kesi na kutupwa mbali. Aibu ambayo akina Mdee na spika wangeipata haiwezi kuwekwa hadharani na kina kibatala.
Kesi ikifutwa leo na Mdee wakaambiwa wafunguwe upya itakuwa ni vuta nikuvute wakati wakiendelea kuvuta mpunga.
 
mpumbavu utakuwa wewe.
Hyo katiba ya TANZANIA imevunjwa mara ngapi ?mpaka leo iwe ajabu kuvunjwa?tatizo mna akili za NYUMBU za kushindwa KUHOJI.
Hyo katiba mnayosema hairuhusu NEC kuhojiwa kila siku inavunjwa.
Na hata katiba yenu ya chadema inavunjwa mbona hamsemi?
lini mtajitawala kiakili na kuchukua akili zenu kwa mbowe?
Sehemu yoyote ukichaguwa kukaa kimya si rahisi kwa mtu yeyote kugunduwa upumbavu wako.
 
..Kesi hazitakiwi kuendeshwa kwa hila au janja-janja.

..Mawakili wa pande zote wako kuisaidia mahakama kutenda HAKI.

..Wajibu wa kwanza wa Mawakili ni huo wa kuisaidia mahakama kutenda haki, na sio kuleta ushindi kwa upande wanaouwakilisha.

..Katika kutekeleza wajibu huo Mawakili wanatakiwa kuisaidia mahakama kuhakikisha kwamba taratibu na sheria zinafuatwa ili haki itendeke. Hawatakiwa kuwekeana mitego, au kuendesha kesi kwa malengo yaliyoko nje ya mahakama na shauri husika.

..Maelezo ya mapingamizi ya Chadema na sababu zake ni haya hapa kwenye video.

 
Wahalifu mnapenda uhalifu hongera sana lakini yote ni ya hapa hapa duniani yatabaki na maisha yatasonga,mwendazake aliratibu hili zoezi la wabunge hewa na akawaachia wakiwa wanakula hizo hela ambazo alikuwa siku zote akitembea nazo mfukoni na yeye huko kuzimu mchwa wanashangilia.
 
Sanaa tupu, kwa nini wapinge NEC kushitakiwa? Whao wana mamlaka gani?
 
Kaka hii katiba mnayosema hairuhusu NEC kuhojiwa ndo mnayotaka ibadilishwe au kuna nyingine!
 
Washauri waachane na kina Halima Mdee. Wakomae na katiba mpya naona kama wamejisahaulisha vile au ndio mambo ya kulamba asali!
Acha kuimbishwa wimbo usiyoujua Kama juha.

Hivi unadhani kutengeneza katiba ya nchi nj jambo la kufanywa na chadema pekee?
 
Jiwe chali, Mungu fundi aisee
 
Umeandika ujinga mkubwa. Huelewi basics za sheria wala taratibu zinazoendesha mahakama.

NEC imepewa kinga ya kutoshtakiwa mahakamani. Kuishtaki NEC ni mbinu ya kurefusha kesi ili Mdee na wenzake waendelee kuwa wabunge.
 
Umeanza kwa kuuliza ni faida ya Nani Chadema kupinga NEC kushitakiwa, baadaye unahitimisha kwa kusema ni Sanaa! Unauliza na jibu unatoa mwenyewe!
 
Unazidi kudhihirisha mtindio wa ubongo ulionao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…