CHADEMA wanapinga NEC kuunganishwa kwenye Kesi ya Halima Mdee na wenzake. Je, ni kwa faida ya nani?

wewe nyumbu si unataka hyo katiba ibadilishwe?
Vipi leo katiba mnayosema haifai muitetee?
Mimi nilidhani mngekubali NEC waitwe Sababu itakuwa ndo mwanzo wa katiba mpya wale wasiohojiwa waanze kuhojiwa.
Lakini shida AKILI ZENU ANAZO MBOWE MMEBAKI EMPTY
Unazidi kudhihirisha mtindio wa ubongo ulionao.
 
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa kiza kinene,asiyejua maana haambiwi maana,ungekaa kimya ingesaidia kuficha uzuzu wako.
Mkuu mbona unatumia jina la VESTILINE hayo si mafuta?hicho si kilainishi?Au basi acha tu
 
Mhuuu, Halima wanajua wanachokifanya. Chadema wamewashtukia na ni kinyume cha katiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…