Uchaguzi 2020 CHADEMA wanasubiri kwanza Ilani ya Uchaguzi ya CCM itolewe!

Mleta mada kumbuka kuokoteza vitu, ideas hakujaanza leo maana hata wewe mwenyewe ni kuokoteza kwa mbegu za kike na kiume ndio ukapatikana.
Kuna ubaya gani wakitumia JF kupata ideas za wanachokitaka watanzania.
Nakushauri hata kama una lipwa kwa kila uzi tumia vizuri akili zako la sivyo tunakuona hamnazo.))
 
Kwani JF kuna Mazombie? Walioko JF sio watu wanaojielewa wenye uwezo na weledi wa kutoa maoni yenye tija kwa ajili ya maendeleo ya Taifa letu?

Acha dharau za Kijinga.
 
Sasa kama deni lako la taifa kwa muda uliokaa madarakani linazidi miradi yote uliyotekeleza, unahitaji akili gani kujua hicho unachoita kutekeleza kwa fedha za ndani ni kiini macho? Huo mfano wa korosho ilikuwa ni kukutoa uwaze nje ya box. Huko UK ni ghali zaidi, ila haimaanishi kuwa hiyo bei kwa hapa nchini ni nafuu kisa haiifikii huko UK. Fahamu UK hawalioni korosho.
Hivi upo sawa kiakili? Unajua nini maana ya mkopo? Kwani deni kuwa kubwa ndio kusem a huwezi kulipa?
Na deni kuwa kubwa ndio kusema kila mradi unatekelezwa kwa mkopo!
 
Uk hawalimi korosho ila tambua kuwa the higher the production the lower the price pia.
 
Hivi upo sawa kiakili? Unajua nini maana ya mkopo? Kwani deni kuwa kubwa ndio kusem a huwezi kulipa?
Na deni kuwa kubwa ndio kusema kila mradi unatekelezwa kwa mkopo!

Kama deni linakuwa kila mwaka mpaka kufikia kuomba kusamehewa madeni, tafsiri yake ni kuwa unaweza kulipa?

Kama deni lako linazidi kiwango chako cha miradi uliyotekeleza ukiwa madarakani, unahitaji akili gani hapo kujua kuwa unakopa zaidi kwenye utekelezaji wa miradi yako? Kama sio mikopo, sema hilo deni linakuwa hivyo kwa sababu gani. Magufuli alikuta deni la taifa likiwa 39t, kwa kipindi cha miaka mitano tu deni limekuwa kwa 1/3 ya marais wote wanne waliopita kwa miaka 54.
 
Kuomba kusamehewa kuna tatizo? Nchi hii bado inaendelea corona nayo imetuletea matatizo tambua hilo.
Deni limekuwa lakini ni himilivu kuwa muelewa.
Deni kubwa kuliko miradi au deni limeongezeka kutokana na miradi iiyopo? Fafanua maana wewe unakaririshwa sana.
 
Mbona km vile una furasiresheni.kunywa maji mengi mkuu.
Hakuna Upinzani nchi hii
Hao ni Mamluki wakiwatumikia Mabwana zao
Hawa Mwaka huu watapokea kipigo cha Mbwa koko
Kufikisha 20% Itakuwa ni ushindi kwao
 
Kuomba kusamehewa kuna tatizo? Nchi hii bado inaendelea corona nayo imetuletea matatizo tambua hilo.
Deni limekuwa lakini ni himilivu kuwa muelewa.
Deni kubwa kuliko miradi au deni limeongezeka kutokana na miradi iiyopo? Fafanua maana wewe unakaririshwa sana.

Kama deni haliongezeki kwa miradi iliyoko, linaongezeka kwa sababu gani? Nimekupa na kiwango cha awamu hii kwa miaka mitano dhidi ya deni la miaka 54 ya marais waliomtangulia.
 
Wewe una akili timamu?
 
Back
Top Bottom