CHADEMA waondoa pingamizi dhidi ya maombi ya kina Mdee ya zuio la muda

CHADEMA waondoa pingamizi dhidi ya maombi ya kina Mdee ya zuio la muda

Mbona alipigiwa simu na Mdee kuhusu kupewa kiti ndipo akampigia Mnyika kuuliza kama Kamati kuu ilishatoa Baraka waende bungeni? Alipoambiwa NO naye kamjibu Mdee NO!!

Sio kila mwanasiasa ana Bei, anajua 2015 ataingia tu mjengoni sasa haraka za nini uharibu credibility!
Mdee kaponzwa na yule malaya wa Bunda... bora angekua anajipigia tu visichana vya mlimani kama kawaida yake... malaya wana nuksi sana.
 
Hivi yule mtu anayejitekenya na kucheka mwenyewe kama mleta mada anaitwaje?
 
Hehehehe Ina maana hawakufuata hizo, wqlikurupuka..??
Aaah sasa si ndio wanachotaka mahakama itamke.... Ila kwa vyovyote hukumu haizuii CHADEMA isije watimua tena!! So Wana nunua muda tu Ili kesi ziende mpaka 2025.
 
Hili case haiishi mpaka uchaguzi ujao. Serikali inajua, viongozi wakuu chadema wanajua, japo wana wanawaminisha wanachama wao kuwa hawajui.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Hapana inasikilizwa mfululizo kwa siku 14.... Unless Mdee ashinde kesi ila hakuna Cha kufika 2025 maana ikirudishwa tena baraza kuu Bado watatimuliwa tena na tena. Hakuna namna utalazimisha uanachama.
 
Jiwe limerushwa gizani watu wanakimbia kimbia hovio hawaelewi pa kukimbilia, aahahahahahahaaaaa
 
Wakili msomi Peter Kibatala ameondoa Mapingamizi yote likiwemo lile la kuitaka Mahakama itamke kuwa Halima Mdee na wenzake siyo wabunge wakati huu Kesi inaposikilizwa

Source ITV habari
 
Peter kibatala na jopo lake wangebadili tricky , wakaacha kwenda na mapingangamizi zaidi instead hata kama wameona mapungufu wauchune ila wafosi mzigo usikilizwe on merit hukumu itoke chap.
.
Kama wakina halima hawana merit basi itkua wameluz once n for all
.
Siku hizi mawakili wa bank wamestuka watu wakiomba zuio hawakatai wala mapingamizi ya hovyo hawawek, wanapambana kesi ya msingi inaisha ndan ya miezi michache mkopaji anashindwa kesi.
 
Back
Top Bottom