CHADEMA waondoa pingamizi dhidi ya maombi ya kina Mdee ya zuio la muda

CHADEMA waondoa pingamizi dhidi ya maombi ya kina Mdee ya zuio la muda

CCM inatupotezea muda kuwakumbatia hawa vicheche,wangewapa uanachama wa CCM kisha waendelee na ubunge wao kama walivyofanya Kwa Cecil Mwambe,hatutawashangaa kwani wao ni mabingwa wa kuvunja na kuinajisi Katiba.
 
Ina maana gani hapo sasa?
Kesi ya msingi ianze.
Hapana, sio kesi ya msingi ianze, hapa kinaomba kibali cha kufungua kesi ya maombi ya mandamus na certiorari, mahakama kuu kwanza inasikiliza kwanza kama taratibu za kuleta maombi zimetimizwa, na pili kama waleta maombi wana hoja za msingi, ndipo mahakama kuu inatoa kibali cha kufungua shauri. Kesi ya aina hii husikilizwa na majaji watatu.

Kuhusu hii kesi, kuna hii sauti niliisikia The Voices From Within: "Mahakamani Watashindwa Tena!" Sababu ni Mawakili! Jee Tanzania Tuna Mawakili wa Calibre ya Murtaza Lakha?Jitokezeni Kusaidia!
P
 
Nawe upo?
Mahakama zinafanya kazi kwa kuangalia mood ya Rais, so tusishangae wakidai walifukuzwa kinyume na taratibu so process irudiwe.

Ukizingatia baraza kuu ni mwakani, kesi itaburuzwa hadi 2024 latest.

Haya mambo yanakera sana
 
Back
Top Bottom