SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Anawafanyizia kweli wenzake,huoni anavyotia kibesi anajiona ana mkia kabisaMkuu hivi ni kweli Mzee Mdee ni mkoboaji yule manzi.
Ina maana gani hapo sasa?
Hapana, sio kesi ya msingi ianze, hapa kinaomba kibali cha kufungua kesi ya maombi ya mandamus na certiorari, mahakama kuu kwanza inasikiliza kwanza kama taratibu za kuleta maombi zimetimizwa, na pili kama waleta maombi wana hoja za msingi, ndipo mahakama kuu inatoa kibali cha kufungua shauri. Kesi ya aina hii husikilizwa na majaji watatu.Kesi ya msingi ianze.
Kabisa.Mkuu hivi ni kweli Mzee Mdee ni mkoboaji yule manzi.
@GENTAMYCINE [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi yule mtu anayejitekenya na kucheka mwenyewe kama mleta mada anaitwaje?
Mahakama zinafanya kazi kwa kuangalia mood ya Rais, so tusishangae wakidai walifukuzwa kinyume na taratibu so process irudiwe.Nawe upo?
Wacha bwana ndiyo maana hajazaa mpk leo.Kabisa.