mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Huu ni uonevu mkubwa..
Kama kuna kiongozi anayewatuma hao watu.
Hafanyi kitu kizuri.
waziri wa mambo ya ndani.
JITAFAKARI.
kama serikali haihusiki na wewe umekaa kimya BASI HAUFAI maana hatuko salama
Kama kuna kiongozi anayewatuma hao watu.
Hafanyi kitu kizuri.
waziri wa mambo ya ndani.
JITAFAKARI.
kama serikali haihusiki na wewe umekaa kimya BASI HAUFAI maana hatuko salama