CHADEMA watangaza kutoshiriki majadiliano ya wadau wa vyama vya siasa na polisi

Huo ni uamuzi wa Chadema. Unamzuia vipi Msajili wa Vyama vya Siasa kuendelea na kikao chake na IGP na vyama vingine? Mnahangaika nini na chama mfu kama Chadema? Hata Chadema akiwepo hoja zake hazitakuwa na uzito mbele ya vyama vingine zaidi ya 10 vitakavyokuwa upande wa Msajili na IGP!

Amandla....
 
Zandramo zako ndio hoja imara, hivyo Baki na hoja zako nao wabaki na hoja zao, unaumizwa na Nini? Au kipo unachowadai
 
 
Tulishazoea matamuko yao,waliwahi kutamka_

Watafanya maandamano yasiyokoma.

Hawatashiriki uchaguzi wowote baadaye wakashiriki.

Ni kaupepo katapita.

Waacheni watanyooka tu,Kwanza hawana nguvu yoyote tena baada ya wananchi kutambua demokrasia wanayoitaka haipo kwenye chama chao.
Mbowe kang'ang'ania uenyekiti Kama kupe.
 
EeeenHeee,

Unataka Sirro akawaeleze kipi ambacho hajafanya ili waelewe kwamba kazi aliyopewa ni kuwakandamiza, na ikiwezekana awaondoe kabisa katika uso wa Tanzania?

Wakati mwingine akili za matope aina hii inakuwa vigumu huwa unaziokota wapi.
 
Hichi chama sijawwhi kukiilewa kabisa huwa hakinaga watu makini .kila wakati hiww wanatumia nguvu zaidi kuliko akili utadhani hii nchi ni genge la wa huni eti wanashinikiza mbowe aachiwen ni nchi gani hiyo ya kushinikiza mhalifu aanchiwe
 
Acha ujinga wako. IGP anahusikaje na mambo ya Vyama? Yeye ni Mwanasiasa kuanzia lini???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…