CHADEMA wekeni pingamizi Mahakama Kuu ili matokeo yasitangazwe baada ya Mawakala wenu kufanyiwa figisu

CHADEMA wekeni pingamizi Mahakama Kuu ili matokeo yasitangazwe baada ya Mawakala wenu kufanyiwa figisu

Wasiende mahakamani narudia wasiende
Ni bora waende kwa wafadhili tuwekewe vikwazo nchi nzima (hadi wana CCM) halafu tuanze kuimba wimbo mmoja
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Ni wazo zuri sana lakini mahakama zenyewe zimetiwa mfukoni na huyo anayejiita mwendawazimu na matokeo ya Uchaguzi wa Rais hayapingwi popote pale! kitu cha kustaajabisha sana.
 
Ahsante sana Mkuu mimi pia naona sasa tunastahili kuwekewa vikwazo vya kiuchumi labda vitatia akili kichwani mwa hawa wahuni wa maccm ili waweze kukubali uwepo wa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Mahakama hizi nimepoteza imani nazo kabisa.

Wasiende mahakamani narudia wasiende
Ni bora waende kwa wafadhili tuwekewe vikwazo nchi nzima (hadi wana ccm) halafu tuanze kuimba wimbo mmoja
 
Ahsante sana Mkuu mimi pia naona sasa tunastahili kuwekewa vikwazo vya kiuchumi labda vitatia akili kichwani mwa hawa wahuni wa maccm ili waweze kukubali uwepo wa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Mahakama hizi nimepoteza imani nazo kabisa.
Ndiyo mkuu hakuna haja ya kwenda mahakamani
 
Back
Top Bottom