Ni wazo zuri sana lakini mahakama zenyewe zimetiwa mfukoni na huyo anayejiita mwendawazimu na matokeo ya Uchaguzi wa Rais hayapingwi popote pale! kitu cha kustaajabisha sana.
Ahsante sana Mkuu mimi pia naona sasa tunastahili kuwekewa vikwazo vya kiuchumi labda vitatia akili kichwani mwa hawa wahuni wa maccm ili waweze kukubali uwepo wa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Mahakama hizi nimepoteza imani nazo kabisa.