Chadema wemebaki na machaguo mawili tu, Kumpa Uenyekiti Tundu Lissu au kukiua chama chao

Chadema wemebaki na machaguo mawili tu, Kumpa Uenyekiti Tundu Lissu au kukiua chama chao

Nahisi karma inaenda kutokea

Mbowe akiwa Mwenyekiti wafuasi watamkataa na kumuona yupo hapo kujipatia maslahi binafsi na ndipo zitto kabwe atajiokotea dodo
Mimi hapo ndiyo nitabwaga manyanga na sitajishughulisha tena na siasa za nchi hii wala sitakaa nipoteze muda wangu kupiga kura maisha yangu yote.
 
Chadema Imebakisha Mwezi mmoja tu kufa au kupona.

Kumpa uenyekiti Tundu Lissu au kukiua chama chao.
Chadema haiwezi kufa kisa chaguzi za mwenyekiti, iyo haipo , chadema ni taasisi sio mtu , kuna watu ndani ya chadema wapo na uwezo mkubwa kuliko lissu na Mbowe naomba ili liwe clear
 
Back
Top Bottom