Pre GE2025 CHADEMA ya Lissu ijikite kwenye kuangazia kero za wananchi ipate uungwaji mkono dhidi ya CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
aliyoeleza muungwana hapo juu hakuna hata moja halijatekelezwa na CCM gentleman..

Lipi jipya kati ya hayo au nalofikiri wewe?

au ni yapi waTz wanayahitaji hayatimizwa na CCM?au una mbwelambwela tu 🐒
Mkuu una maanisha nini??

Kwa manufaa ya wananchi tuweke ushabiki na mahaba pembeni. Tupaze sauti kwa pamoja kuhusu usimamizi na utekelezaji wa ilani kama ilivyo kwanza.

Mambo ni mengi sana ambayo bado sana. Mfano hali ajira ni mbaya sana, maslahi ya wafanyakazi hayajaboreshwa yapata miaka kumi sasa., kilimo bado ni cha kujikimu, Elimu na miundo mbinu yake bado ni kijima na kadhalika.

Mkuu tuwe wakweli, tuambiane ukweli na tuusimamie ukweli!!!
 
Huyo Lisu unayemsema wa kuzungumzia kero za wananchi ni yupi, ni huyu huyu Tundu, au yule kaka yake? Kama ni tundu basi nakuhakikishia utasubiri sana. Mtu mwenye umimi wa kiwango cha juu kiasi hicho hawezi kukumbuka kero za wananchi.
🤔 🤔 🤔
 
Jitu kutwa nzima linaasama mdomo Kama mamba na lile tumbo lake kutukana na kubagaza wenzie unafikiri Ana sera gani zaidi ya kuimba katiba mpya?? CDM imepotea kuruhusu wahuni kukiongoza
😲😲😲
 
ukiangalia hali ya miundo mbinu naona kama ni tofauti kabisa na miaka ya kuanzia 2013 kwenda nyuma, miundo mbinu imeboreshwa mno lakini pia upatikanaji wa maji safi kwa maeneo ya mjini inatia moyo. Kuna tatizo kubwa sana kwenye utoaji wa haki ambao unasababishwa na wafanyakazi wa serikali amba sio waaminifu na hawafuati miongozo. kama tunavyojua wahalifu wanapendana kuliko watenda haki na hata kama hawafahamiani wanalindana, kwa mfano ukijaribu kulalamika kwa trafiki kuhusu trafiki mwingine ambae hata hawafahamiani hapo hapo ataanza kumtetea na utaonekana wewe ni mtu hatari na anaweza kukuadthibu. kwahiyo shida kubwa iko kwa wafanyakazi wa serikali.
 
Sasa tupo kwenye ukurasa mmoja! Lissu hajui political economy, hajui techno-econo-social development!!! Lissu ni mtu wa uanasheria wa kiharakati na si mwanaharakati wa kisheria...! Kama wapinga mlete hapa ajieleze mambo haya kama hatakimbilia ChatGPT kutafuta majibu ya kubumba!!! Ajipange Ndugu yetu Antipasu!!!
Mkuu hakuna kiongozi anaye jua kila kitu, ndio maana kuna washauri.

Kukumbusha tu, Jukumu la kuwasemea wananchi na kuisimamia serikali sio la upinzani pekee yake. Ni jukumu la kila mtu mzalendo.

Na kuhusu wananchi, mwananchi ni mimi, wewe, ndugu zetu na majirani waliotuzunguka mkuu!!

usijione upo ulimwengu tofauti!!
 
Ngoja tuone atajitune vipi. But I wish siasa zake pamoja na kudai mambo kama vile "tume huru", "katiba mpya" etc, ziwe pia ni kuibananisha CCM kwenye masuala yanayogusa maisha ya kila siku ya watu kama haya niliyoyaandika.
🌤️🙋‍♂️🎯✍️🤝🙏
 
🌤️🙋‍♂️🎯✍️🤝
ukiangalia hali ya miundo mbinu naona kama ni tofauti kabisa na miaka ya kuanzia 2013 kwenda nyuma, miundo mbinu imeboreshwa mno lakini pia upatikanaji wa maji safi kwa maeneo ya mjini inatia moyo. Kuna tatizo kubwa sana kwenye utoaji wa haki ambao unasababishwa na wafanyakazi wa serikali amba sio waaminifu na hawafuati miongozo. kama tunavyojua wahalifu wanapendana kuliko watenda haki na hata kama hawafahamiani wanalindana, kwa mfano ukijaribu kulalamika kwa trafiki kuhusu trafiki mwingine ambae hata hawafahamiani hapo hapo ataanza kumtetea na utaonekana wewe ni mtu hatari na anaweza kukuadthibu. kwahiyo shida kubwa iko kwa wafanyakazi wa serikali.
🌤️🙋‍♂️🎯✍️🤝🙏
 
Katika vitu ambavyo vimeifanya CCM isurvive, au kupata ahueni ya kisiasa ni kwa sababu CHADEMA ya uongozi uliopita haikuchagua kuisagia kunguni CCM kisawasawa kwa wananchi juu ya kero zinazowasumbua wananchi. Wao walibaki kuongelea vitu secondary kama vile demokrasia na kuacha mambo ya maana yanayohusu uhai wao. Ninatambua kuwa Demokrasia ni muhimu lakini siyo kipaumbele kwa wananchi kama vile msosi mezani, maji etc.

Mimi naamini, kama CHADEMA itageuza KERO za WANANCHI kuwa ndiyo TALKING POINTS ZAO kila viongozi wao waongeapo na vyombo vya habari, kila waongeapo na wananchi , basi uungwaji wao mkono utakuwa mkubwa sana. Kuna haya mambo lazima CHADEMA hususan Mwenyekiti wa sasa wa CHADEMA lazima ajikite kuyazungumzia.

1. MAJI
Amini usiamini shida ya Maji Dar es salaam ni kubwa mno. Tena miezi hii ya karibuni mpaka leo kuna mgao mkali mno na wa kutisha wa maji. Cha kushangaza hii hali hujitokeza kila mwaka lakini hakuna chama cha siasa kilichotokea na kuibeba hii kuwa ni Agenda ya kuitandikia CCM. Yaani kwa jinsi wananchi wanavyoteseka, wanavyoumia, iwapo CHADEMA itawaonyesha wananchi kuwa inajua hilo tatizo, na kwamba CCM imefeli, na kwamba wananchi waiunge Mkono CHADEMA katika kudemand reforms za msingi ili huko mbeleni tuweze kupata serikali zilizo accountable kwa wananchi, basi wananchi wataiunga mkono CHADEMA kwa kasi na kwa wingi mno.

2. AJIRA KWA VIJANA
Leo vijana ambao wanamaliza vyuo na ngazi mbalimbali za elimu wanasaga lami, hali ya ajira ni mbaya mno. Haijakuwepo sauti ya kutosha ya CHADEMA kuwagonganisha vijana na CCM ili waichukie CCM. CHADEMA inaweza kupata uungwani mkono kutoka ktk kundi la vijana iwapo viongozi wakuu wa CHADEMA watakapokuwa wanakosoa mara kwa mara kushindwa kwa serikali ya CCM kupunguza hilo tatizo na pia kwa kuonyesha mbadala wa mikakati. Lakini mbadala huo wa mikakati hautawezekana chini ya katiba hii na mifumo hii ya uchaguzi, kwa hiyo Vijana waiunge mkono CHADEMA ktk azma ya kufanya Reforms nchini ili iwezekane kupatikana leadership ya kuweka mbele maslahi yao.

3. UFISADI NA UPIGAJI
Hii ni agenda mama, kamwe CHADEMA wasiitupe agenda hii. Ni lazima kuirudiarudia agenda hii kwenye masikio ya wananchi. Kipindi cha uongozi wa CHADEMA uliopita, hii agenda waliitupa, wakaachana nayo. Hiyo ilikuwa ni mistake kubwa. Lazima CHADEMA hii ya sasa ya Lissu iendelee kuizodoa mifisadi, kuisagia kunguni mbele ya umma. Yaani hakuna kuacha mafisadi wakapumua, na pia hakuna kuacha kuuzungumzia upigaji wa kutisha.

4. ISHU YA HUDUMA ZA AFYA NA GHARAMA ZAKE.
Kipindi cha CHADEMA ya Dr Slaa, huyu mkuu wa mkoa wa Dar aliyewaambia wanawake wasio na hela wakazalie nyumbani isingeweza kupita hivihivi. Kwanza CCM ilikuwa ikiogopa kutoa kauli za hovyo namna hii. Hata hivyo hoja yangu ni kwamba gharama za huduma za afya zinaongezeka sana huku umasikini wa watu ukiendelea kuongezeka. Hii Agenda, haswa huduma za akina mama wanaojifungua ktk mazingira magumu ktk ofisi za serikali, inapaswa kuzungumziwa pia mara kwa mara. Hii itawavutia wananchi na kujikuta wanasimama upande wa CHADEMA.

5. KUNA ISHU YA MAKATO KIBAO KUPITIA SIMU

Kuna hii kodi ya majengo kupitia malipo ya LUKU, yaani mpangaji analazimishwa kulipa kodi ya jengo linalomilikiwa na mwenye nyumba kila mwezi mpangaji awekapo umeme. Kuna kodi serikali inakata kwa mtu pindi amtumiapo let say bibi yake kodi kijijini. Huu ni wizi, hupaswi kukata kodi au ushuru kwenye hela ya mtu anayomtumia bibi yake akanunue dawa au vyovyote vile. CHADEMA waitumie hii agenda kuwasagia kunguni kwa wananchi. Tena wapige za utosini haswa mpaka umma uone CCM haifai.

MWISHO
Ninatambua kuwa Sehemu kubwa ya Maongezi ya Viongozi wa CHADEMA yanahusu terms za kisiasa kama vile "Democracy", "Katiba mpya", "Uchaguzi huru na haki", Nataka niwaeleze tu kuwa japo hayo mambo ni muhimu, Yataeleweka zaidi kwa wananchi iwapo yatafungamanishwa na vitu vya uhai wao kama vile maji safi na salama ya kunywa, kana vile ajira za vijana, kama vile upatikanaji dawa na huduma nzuri hospitalini etc.

Kwa hiyo nategemea sasa kumsikia Lissu na Heche na makada wa CHADEMA wafanye adjustment kwenye maongezi yao pindi waongeapo kuhusu mambo ya nchi na siasa zake, yaani pamoja na mademokrasia yao wayapiganiayo lazima wajustify hayo kwa kugusa na kuisagia kunguni CCM kwa kuefeli kwenye social na economic fronts.

mkuu, umenena vema
 
Naunga mkono hoja
 
Shida ya maji hasa inapofika miezi ya November hadi January huwa ni kubwa sana.
 
Moja ya udhaifu wa Lisu ni huo. Huwa hazungumzii mambo yanayomgusa mwananchi moja kwa moja. Uchumi, shida za wakulima, wafugaji, wafanyabiashara, wachimbaji, wafanyakazi, mama, watoto, wagonjwa nk nk. Amejikita zaidi kuzungumzia michakato ya kisiasa. CDM na Lissu wanataliwa kubadili tone.
 
Observation yako ni sahihi. Lissu yuko sana kwenye mambo ya Justice, Democracy, Human rights lakini hana interest sana na issues za "Ugali" wa watu. Kama anataka CHADEMA ipate uungwaji mkono zaidi, Lazima aongeze arsenal yake ya agenda. Aongeze issues zinazogusa maisha yao ya kila siku.
 
Unapoleta mada unatakiwa kujua mfumo wa utendaji katika huduma za jamii.

Hayo mambo uliyoyaleta ni majukumu ya Serekali ambayo huwa inaandaa bajeti kila mwaka. Unaposema upinzani ujikite kujibu kero za wananchi watapata wapi rasilimali fedha na watu za kutekeleza na kuondoa hizo kero? Au kwa mfano suala ajira watalitekeleza vipi wakati siyo waliounda serikali?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Wakati Dr Slaa anagombea Urais kupitia Chadema, walikuwa na sera nzuri na hata kwenye kuziwasilisha waligusa angalua matatizo yaliyowagusa sana Wananchi, ninadhani kipindi kile Chadema waliwekeza haswa, kipindi cha Lowasa hiyo ishu ikapungua kidogo, ila wakati wa Lissu ndio kabisaa walipotea, sio Chadema wala Lissu aliyeonyesha kujipanga.
Sasa kipindi hiki, japokuwa wamechelewa kidogo, wanaweza bado kuwekeza kwenye kufanya research ya kero mbali mbali zinazowakabili Wananchi katika maeneo mbali mbali wakawaandaa Wahusika wao watakaowania nafasi za kiuongozi, kisha wakazutumia hizo kero dhidi ya wapinzani wao na namna ya kuzitatua.
 
Katika vitu ambavyo vimeifanya CCM isurvive, au kupata ahueni ya kisiasa ni kwa sababu CHADEMA ya uongozi uliopita haikuchagua kuisagia kunguni CCM kisawasawa kwa wananchi juu ya kero zinazowasumbua wananchi. Wao walibaki kuongelea vitu secondary kama vile demokrasia na kuacha mambo ya maana yanayohusu uhai wao. Ninatambua kuwa Demokrasia ni muhimu lakini siyo kipaumbele kwa wananchi kama vile msosi mezani, maji etc.

Mimi naamini, kama CHADEMA itageuza KERO za WANANCHI kuwa ndiyo TALKING POINTS ZAO kila viongozi wao waongeapo na vyombo vya habari, kila waongeapo na wananchi , basi uungwaji wao mkono utakuwa mkubwa sana. Kuna haya mambo lazima CHADEMA hususan Mwenyekiti wa sasa wa CHADEMA lazima ajikite kuyazungumzia.

1. MAJI
Amini usiamini shida ya Maji Dar es salaam ni kubwa mno. Tena miezi hii ya karibuni mpaka leo kuna mgao mkali mno na wa kutisha wa maji. Cha kushangaza hii hali hujitokeza kila mwaka lakini hakuna chama cha siasa kilichotokea na kuibeba hii kuwa ni Agenda ya kuitandikia CCM. Yaani kwa jinsi wananchi wanavyoteseka, wanavyoumia, iwapo CHADEMA itawaonyesha wananchi kuwa inajua hilo tatizo, na kwamba CCM imefeli, na kwamba wananchi waiunge Mkono CHADEMA katika kudemand reforms za msingi ili huko mbeleni tuweze kupata serikali zilizo accountable kwa wananchi, basi wananchi wataiunga mkono CHADEMA kwa kasi na kwa wingi mno.

2. AJIRA KWA VIJANA
Leo vijana ambao wanamaliza vyuo na ngazi mbalimbali za elimu wanasaga lami, hali ya ajira ni mbaya mno. Haijakuwepo sauti ya kutosha ya CHADEMA kuwagonganisha vijana na CCM ili waichukie CCM. CHADEMA inaweza kupata uungwani mkono kutoka ktk kundi la vijana iwapo viongozi wakuu wa CHADEMA watakapokuwa wanakosoa mara kwa mara kushindwa kwa serikali ya CCM kupunguza hilo tatizo na pia kwa kuonyesha mbadala wa mikakati. Lakini mbadala huo wa mikakati hautawezekana chini ya katiba hii na mifumo hii ya uchaguzi, kwa hiyo Vijana waiunge mkono CHADEMA ktk azma ya kufanya Reforms nchini ili iwezekane kupatikana leadership ya kuweka mbele maslahi yao.

3. UFISADI NA UPIGAJI
Hii ni agenda mama, kamwe CHADEMA wasiitupe agenda hii. Ni lazima kuirudiarudia agenda hii kwenye masikio ya wananchi. Kipindi cha uongozi wa CHADEMA uliopita, hii agenda waliitupa, wakaachana nayo. Hiyo ilikuwa ni mistake kubwa. Lazima CHADEMA hii ya sasa ya Lissu iendelee kuizodoa mifisadi, kuisagia kunguni mbele ya umma. Yaani hakuna kuacha mafisadi wakapumua, na pia hakuna kuacha kuuzungumzia upigaji wa kutisha.

4. ISHU YA HUDUMA ZA AFYA NA GHARAMA ZAKE.
Kipindi cha CHADEMA ya Dr Slaa, huyu mkuu wa mkoa wa Dar aliyewaambia wanawake wasio na hela wakazalie nyumbani isingeweza kupita hivihivi. Kwanza CCM ilikuwa ikiogopa kutoa kauli za hovyo namna hii. Hata hivyo hoja yangu ni kwamba gharama za huduma za afya zinaongezeka sana huku umasikini wa watu ukiendelea kuongezeka. Hii Agenda, haswa huduma za akina mama wanaojifungua ktk mazingira magumu ktk ofisi za serikali, inapaswa kuzungumziwa pia mara kwa mara. Hii itawavutia wananchi na kujikuta wanasimama upande wa CHADEMA.

5. KUNA ISHU YA MAKATO KIBAO KUPITIA SIMU

Kuna hii kodi ya majengo kupitia malipo ya LUKU, yaani mpangaji analazimishwa kulipa kodi ya jengo linalomilikiwa na mwenye nyumba kila mwezi mpangaji awekapo umeme. Kuna kodi serikali inakata kwa mtu pindi amtumiapo let say bibi yake kodi kijijini. Huu ni wizi, hupaswi kukata kodi au ushuru kwenye hela ya mtu anayomtumia bibi yake akanunue dawa au vyovyote vile. CHADEMA waitumie hii agenda kuwasagia kunguni kwa wananchi. Tena wapige za utosini haswa mpaka umma uone CCM haifai.

MWISHO
Ninatambua kuwa Sehemu kubwa ya Maongezi ya Viongozi wa CHADEMA yanahusu terms za kisiasa kama vile "Democracy", "Katiba mpya", "Uchaguzi huru na haki", Nataka niwaeleze tu kuwa japo hayo mambo ni muhimu, Yataeleweka zaidi kwa wananchi iwapo yatafungamanishwa na vitu vya uhai wao kama vile maji safi na salama ya kunywa, kana vile ajira za vijana, kama vile upatikanaji dawa na huduma nzuri hospitalini etc.

Kwa hiyo nategemea sasa kumsikia Lissu na Heche na makada wa CHADEMA wafanye adjustment kwenye maongezi yao pindi waongeapo kuhusu mambo ya nchi na siasa zake, yaani pamoja na mademokrasia yao wayapiganiayo lazima wajustify hayo kwa kugusa na kuisagia kunguni CCM kwa kuefeli kwenye social na economic fronts.
Sasa kama Demokrasia hakuna katika uchaguzi,huo uungwaji mkono wako utaupataji ikiwa uchaguzi si wa haki,uwazi na uhuru.? Kama TUME si HURU hata watanzania wakupigie kura wote, atatangazwa yule ambaye TUME itamtaka.
 
Huyo Lisu unayemsema wa kuzungumzia kero za wananchi ni yupi, ni huyu huyu Tundu, au yule kaka yake? Kama ni tundu basi nakuhakikishia utasubiri sana. Mtu mwenye umimi wa kiwango cha juu kiasi hicho hawezi kukumbuka kero za wananchi.
Uko sahihi,
Dr Slaa aliweza sana kwenye hili, lakini sasa sioni wa kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom