Sangamwalogesha
JF-Expert Member
- Mar 10, 2025
- 2,153
- 1,419
We poyoyo umechanganyikiwa, nani anaiogopa? Wangeendesha siasa za kistaarabu kuna mtu angehangaika nayo. Kufanya uhalifu ndiyo siasa? Mtapigwa sana spana nyie nyumbu. Chadema inayojua siasa imeshakufa, hii ya sasa ni kundi la wahuni wanaolazimisha kupata dola kwa nguvu. Hiyo ni ngumu bwanamdogo, msipoangalia huu ndio mwisho wa hao wahuni.Mwenye macho haambiwi tazama
Mwenye masikio haambiwi sikia
Watanganyika si mapoyoyo kiasi hicho kwamba hawaoni na hawaelewi kinachoendelea
Viongozi na wanachama wa CHADEMA kupigwa na kuteswa
Viongozi na wanachama wa CHADEMA kubambikiwa kesi mbalimbali zisizo na dhamana
Kutekwa na kupotezwa
Kuuliwa
Kuingilia mifumo ya kichama
Msajili kutengua maamuzi halali ya chama
Kugombanisha na kufitinisha wanachama na viongozi wao
Kufanya kila aina ya mbinu chafu kuhakikisha CHADEMA inapotea kwenye siasa za Tanganyika
Hawa wanaofanya hivi sidhani kama wana maono ya mbali.. Na sidhani kama wana tafakuri yakinifu
Kama wakiwaza vema kwa hekima na kwa tafakuri kuu.. Wataacha mara moja harakati zao hasi dhidi ya hiki chama
Unajua ni kwanini? Kwasasa wananchi waliochoka na siasa za ccm wana pa kuweka tumaini lao
Wana pa kusikiliza na kutii na kutulia
Jaribio lolote la kutaka kukiua hiki chama cha CHADEMA ni sawa na kutaka kumuua mchungaji mwenye kuongoza kundi kubwa la wanyama!
Mkimuua mchungaji hili kundi kubwa lenye imani na uaminifu mkubwa kwa mchungaji wao.. Litakosa kiongozi na litakosa udhibiti likitokea la kutokea..
Hakuna kitu kinachoogofya na kutisha sana kama kundi lisilo na cha kupoteza na lililokosa miongozo na waongozaji..
Iogopeni sana CHADEMA lakini msiifanyie hila chafu.. Ikifa tambueni hakuna atakayebaki salama
Mazombie yaleyale majina yaleyale yakifikiri JF itawasaidia. Nendeni kwa wananchi, chama kila siku inakimbiwa halafu anakuja mwehu huku eti kinaogopwaNinakukosoa kwa Kichwa cha Mada Kisicho endana na hali halisi:
"CHADEMA ya Sasa ndio chama tarajiwa kuiongoza Tanzania; hata mamlaka maghumashi zinakigwaya"- Hiki ndicho kichwa cha mada stahiki, mkuu wangu 'Mshana Jr.
HakikaChadema kimekuwa Imani ndani ya mioyo ya wananchi
😀😀chadema ni imani kuiua ni kazi sana atakaye jaribu anakufa yeye
Sasa hivi tuna tawi letu la g55 kila siku wana press😀😀Na mafuriko hayo ni bila ya uwepo Lissu. Angekuwepo je?
yaani mamlaka ziogope chama kinachoongozwa na vibaka wa kisiasa wanaotumia uropokaji wa kilofa kufanya siasa? hiyo ni completely nonsense gentleman 🐒Mwenye macho haambiwi tazama
Mwenye masikio haambiwi sikia
Watanganyika si mapoyoyo kiasi hicho kwamba hawaoni na hawaelewi kinachoendelea
Viongozi na wanachama wa CHADEMA kupigwa na kuteswa
Viongozi na wanachama wa CHADEMA kubambikiwa kesi mbalimbali zisizo na dhamana
Kutekwa na kupotezwa
Kuuliwa
Kuingilia mifumo ya kichama
Msajili kutengua maamuzi halali ya chama
Kugombanisha na kufitinisha wanachama na viongozi wao
Kufanya kila aina ya mbinu chafu kuhakikisha CHADEMA inapotea kwenye siasa za Tanganyika
Hawa wanaofanya hivi sidhani kama wana maono ya mbali.. Na sidhani kama wana tafakuri yakinifu
Kama wakiwaza vema kwa hekima na kwa tafakuri kuu.. Wataacha mara moja harakati zao hasi dhidi ya hiki chama
Unajua ni kwanini? Kwasasa wananchi waliochoka na siasa za ccm wana pa kuweka tumaini lao
Wana pa kusikiliza na kutii na kutulia
Jaribio lolote la kutaka kukiua hiki chama cha CHADEMA ni sawa na kutaka kumuua mchungaji mwenye kuongoza kundi kubwa la wanyama!
Mkimuua mchungaji hili kundi kubwa lenye imani na uaminifu mkubwa kwa mchungaji wao.. Litakosa kiongozi na litakosa udhibiti likitokea la kutokea..
Hakuna kitu kinachoogofya na kutisha sana kama kundi lisilo na cha kupoteza na lililokosa miongozo na waongozaji..
Iogopeni sana CHADEMA lakini msiifanyie hila chafu.. Ikifa tambueni hakuna atakayebaki salama
Chadema hii ndiyo maana na tafsiri halisi ya chama cha kikuu cha upinzani Tanzania.
Chadema ni Mpango wa MunguSijajua inawezekanaje Chadema kujikuta kinapigwa vita na mamlaka zote. Lakini Mamlaka ya Wananchi wanakipenda 100%
Siasa za kiistarabu ndiyo zikoje? Hebu elezea hizo siasa za kistaarabu walizokuwa nazo CHADEMA na ueleze ni lini waliacha hizo siasa za kistaarabu!Wangeendesha siasa za kistaarabu kuna mtu angehangaika nayo.
Nyerere alimwambia Mrema wacheni abebwe kama maiti ? alizuia polisi kumpiga mabomu.Hii hatari ccm haioni, inapuyanga mbuga tu. Imekosa hekima na busara
Hiyo "japo kidogo"🤣🤣🤣🤣Sikilizeni wanna ccm wachache wenye akili japo kijikoView attachment 3333458
Mwenye macho haambiwi tazama
Mwenye masikio haambiwi sikia
Watanganyika si mapoyoyo kiasi hicho kwamba hawaoni na hawaelewi kinachoendelea
Viongozi na wanachama wa CHADEMA kupigwa na kuteswa
Viongozi na wanachama wa CHADEMA kubambikiwa kesi mbalimbali zisizo na dhamana
Kutekwa na kupotezwa
Kuuliwa
Kuingilia mifumo ya kichama
Msajili kutengua maamuzi halali ya chama
Kugombanisha na kufitinisha wanachama na viongozi wao
Kufanya kila aina ya mbinu chafu kuhakikisha CHADEMA inapotea kwenye siasa za Tanganyika
Hawa wanaofanya hivi sidhani kama wana maono ya mbali.. Na sidhani kama wana tafakuri yakinifu
Kama wakiwaza vema kwa hekima na kwa tafakuri kuu.. Wataacha mara moja harakati zao hasi dhidi ya hiki chama
Unajua ni kwanini? Kwasasa wananchi waliochoka na siasa za ccm wana pa kuweka tumaini lao
Wana pa kusikiliza na kutii na kutulia
Jaribio lolote la kutaka kukiua hiki chama cha CHADEMA ni sawa na kutaka kumuua mchungaji mwenye kuongoza kundi kubwa la wanyama!
Mkimuua mchungaji hili kundi kubwa lenye imani na uaminifu mkubwa kwa mchungaji wao.. Litakosa kiongozi na litakosa udhibiti likitokea la kutokea..
Hakuna kitu kinachoogofya na kutisha sana kama kundi lisilo na cha kupoteza na lililokosa miongozo na waongozaji..
Iogopeni sana CHADEMA lakini msiifanyie hila chafu.. Ikifa tambueni hakuna atakayebaki salama
uropokaji wa kilofa kama huu ndio unaokimbiwa gentleman,
Wapenda HAKI na MAENDELEO.Chadema kwa Sasa ndio chama sahihi kwa wapenda maendeleo wa nchi Tanzania.