CHADEMA ya sasa ndio chama kikuu cha upinzani kinachoogopwa zaidi na mamlaka

CHADEMA ya sasa ndio chama kikuu cha upinzani kinachoogopwa zaidi na mamlaka

Hao "1635"; umejumuisha na wapiga kelele tu wasiokuwa na madhara makubwa kwa waTanzania.
Hili "Genge la Askari wa Samia", analolitegemea Samia limpiganie kubaki madarakani kwa gharama yoyote halizidi watu 200 nchi nzima. Hili ni genge la watu alio wateua yeye mwenyewe, na kuwaweka katika nafasi maalum ili wamfanyie kazi hiyo. Kuna ma-RC kadhaa; RCO wachache; watu kama Awadh, polisi anayeongoza kikosi maalum kinachofanya uchafu (usiwaweke polisi wote anaowaongoza) katika namba hiyo. Kuna wakuu wa vitengo, kama mamlaka ya mawasiliano, TCRA,; akina Hamza Johari, wamewekwa maalum kwenye nafasi hiyo kufanya uchafu. Upande wa mahakama huko huwezi kujumuisha majaji wote, lakini Jaji Mkuu ni kiungo muhimu katika juhudi hizo;...n.k.,

Kikwete ni sehemu muhimu ya kundi hilo.

Hili kundi ndilo litakaloleta maafa ndani ya nchi hii kama litaachwa litimize malengo yake bila kudhibitiwa.
CCM sasa ni dubwasha tu, linalotumiwa kama kinga ya hili kundi
100%
 
viongozi wa chadema wanaogopana na hawaaminia kwasababu haijulikani kesho anajiengua nani :pedroP:
Kuaminiana au kutoaminiana na maswala yao binafsi. Wala wewe hayakuhusu. Kikubwa mkuu amka mapema yasije kukuta ya Mbowe
 
Kuaminiana au kutoaminiana na maswala yao binafsi. Wala wewe hayakuhusu. Kikubwa mkuu amka mapema yasije kukuta ya Mbowe
sure,
mim sihusiki na uropokaji wa chama chochote kilichopoteza uelekeo gentleman 🐒
 
Kumbe hata hujielewi, unasema unafatilia maswala ya siasa ya Tanzania alafu unauliza Mbowe anahusika na nini? Pathetic
kuna mbowe mwingine aliwahi kuaga dunia akiwa gesti house kule Mbeya,

jitahidi kua specific bila makasiriko gentleman, huyo ni yupi?🐒
 
kuna mbowe mwingine aliwahi kuaga dunia akiwa gesti house kule Mbeya,

jitahidi kua specific bila makasiriko gentleman, huyo ni yupi?🐒
Aliyekataliwa na wanachadema na kumpiga chini uenyekiti
 
Back
Top Bottom