CHADEMA ya sasa ndio chama kikuu cha upinzani kinachoogopwa zaidi na mamlaka

Your browser is not able to display this video.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Siasa za kiistarabu ndiyo zikoje? Hebu elezea hizo siasa za kistaarabu walizokuwa nazo CHADEMA na ueleze ni lini waliacha hizo siasa za kistaarabu!
Achana naye hana jibu lolote zaidi ya kujilisha upepo na matumaini hewa. Hopeless kabisa huyo
 
Mungu ayabariki maandiko hayo Amen!
 
Na huo ndo ukweli, nimeshangaa kukuta watu bush wanajadili kuhusu chadema na Lissu na kusema mama kajipitisha..!! 😹😹😹
 
Your browser is not able to display this video.
 
Nchi za Jirani zilifanya/fanyiwa vivyo hivyo mabadiliko yakatokea, matendo haya yamerudisha akil kwenye mafuvu
 
Wasira kisha kata moto mapema mno
 
Mti wenye matunda
 
Nchi hii kuna watu na viongozi 1635 wakimalizwa hao nchi ingefunguka ...tunaitaji dictator kwelikweli tena mzalendo haswa
Hao "1635"; umejumuisha na wapiga kelele tu wasiokuwa na madhara makubwa kwa waTanzania.
Hili "Genge la Askari wa Samia", analolitegemea Samia limpiganie kubaki madarakani kwa gharama yoyote halizidi watu 200 nchi nzima. Hili ni genge la watu alio wateua yeye mwenyewe, na kuwaweka katika nafasi maalum ili wamfanyie kazi hiyo. Kuna ma-RC kadhaa; RCO wachache; watu kama Awadh, polisi anayeongoza kikosi maalum kinachofanya uchafu (usiwaweke polisi wote anaowaongoza) katika namba hiyo. Kuna wakuu wa vitengo, kama mamlaka ya mawasiliano, TCRA,; akina Hamza Johari, wamewekwa maalum kwenye nafasi hiyo kufanya uchafu. Upande wa mahakama huko huwezi kujumuisha majaji wote, lakini Jaji Mkuu ni kiungo muhimu katika juhudi hizo;...n.k.,

Kikwete ni sehemu muhimu ya kundi hilo.

Hili kundi ndilo litakaloleta maafa ndani ya nchi hii kama litaachwa litimize malengo yake bila kudhibitiwa.
CCM sasa ni dubwasha tu, linalotumiwa kama kinga ya hili kundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…