CHADEMA ya sasa ndio chama kikuu cha upinzani kinachoogopwa zaidi na mamlaka

Kutekana na kuuawana ndio siasa za kistaarabu? Hao jamaa zako waneshiba wamevimbiwa sasa wanaona bora inchi tuaribu, uoni kuwa hiyo roho mbaya iliyopitiliza?
 
Nimejumlisha na wanafamilia genge la viongozi wahalifu yapo kifamilia ...usipo komesha hiyo cheni lazima tatizo lita jirudia.
 
Kutekana na kuuawana ndio siasa za kistaarabu? Hao jamaa zako waneshiba wamevimbiwa sasa wanaona bora inchi tuaribu, uoni kuwa hiyo roho mbaya iliyopitiliza?
Nakuwaweka watu ambao hawajachaguliwa na wananchi, (kuiba kura)
 
Mtani , suala la muda tu , CHAUMA inakuja juu sana.
 
uropokaji wa kilofa kama huu ndio unaokimbiwa gentleman,

kila kiongozi akikerwa na jambo fulani tu, akiropoka, uropokaji wake unakua ndio kauli na msimamo wa chadema ghafala, dah
Sasa lazima muangaike sana baada ya kibaraka wenu feki kupigwa chini tena kwenye uchaguzi huru kabisa. Mpaka mteme bungo mwaka huu
 
watu wanakimbia chama we unajifariji na maneno mbofu mbofu kilofa namna hiyo gentleman?πŸ’
 
Vibaraka wote lazima wakimbie. Sasa kama walikuwa mamluki wa Ccm na sasa hivi kiongozi wao kapigwa ngwara unafikiri watakaa chamani wanafanya nini huku duka limefungwa. Makapi lazima yatoke yote. Huu ni mwanzo tu
 
maskini dah 🀣

kuachwa ni shughuli pevu gentleman, ni kitu mbaya sana aise πŸ’
 
yaani mamlaka ziogope chama kinachoongozwa na vibaka wa kisiasa wanaotumia uropokaji wa kilofa kufanya siasa? hiyo ni completely nonsense gentleman πŸ’
Frustrated dumb tyrant.. pole sana.. Unateseka ukiwa wapi bwashee?
 
Your browser is not able to display this video.
 
maskini dah 🀣

kuachwa ni shughuli pevu gentleman, ni kitu mbaya sana aise πŸ’
Mkuu hapo bado, Lissu anatakiwa atoke aje amalize makapi yote. Binafsi bado nahisi kuna makapi bado yapo ila hayajianika hadharani. Kibarua chako kinaelekea ukingoni mkuu, shituka mapema yasije kukukuta yale ya Mbowe
 
viongozi wa chadema wanaogopana na hawaaminia kwasababu haijulikani kesho anajiengua nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…